mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
nawaombeni wapenzi wandishi wa michezo hatutaki ushauri wenu wa mpira wa miguu kuhusu timu ya yanga muiache yanga kama ilivyo ina makocha viongozi kamati kwa maana hiyo tafuteni timu nyingine muwape ushauri kama wewe unajifanya yanga fungeni midomo yenu kama hueidhiki rudisha kadi chapa raba