ingekuwa kweli hii nigeria wangewekwa wa kwanza'hao waliotajwa kwenye waraka sio hatari kama wanigeria
Ngozi nyeusi sijui tumelaaniwa wengi wetu tukishindwa maisha au jambo lolote lazima tutafute mchawi.wakuu afrika kusini sio sehemu salama tena...nafikiri sasa tuwaachie nchi yao wema wetu tuliowatendea baba na babu zao miaka ya nyuma unatosha.....tuwaachie nchi yao......
Hiyo wanawatumia watu kwenye mail boxes zao kuwapa warnings....
Na sisi huku tuwaanzishe hao Makaburu basi ..Tuanzie TBL,NBC,Migodini huko Kahama etc..Jino kwa Jino.
unajua kukemea waraka kama huo ni kuupeleka straight to the police department i believe kidogo kule south africa polisi wanafanya follow up tofauti na wa huku kwetu
You think i'm joking??r u serious??
You think i'm joking??
Ngozi nyeusi sijui tumelaaniwa wengi wetu tukishindwa maisha au jambo lolote lazima tutafute mchawi.
wakuu afrika kusini sio sehemu salama tena...nafikiri sasa tuwaachie nchi yao wema wetu tuliowatendea baba na babu zao miaka ya nyuma unatosha.....tuwaachie nchi yao......
Hiyo wanawatumia watu kwenye mail boxes zao kuwapa warnings....
Huo waraka umetoka SABA kwa blacks wenzio. Sasa wewe uwatafute makaburu wa nini!!! Yaani akili zao kama zako. Any way, sijuwi kwanini kwenye huo waraka hawakutajwa Nigerians and Congolese. Hawa ndio wana-screw ile nchi zaidi ya maelezo. Hata hivyo, uchumi wa SA uko mikononi mwa Makaburu. Sijuwi SABA wanachotaka toka kwa foreigners ni nini hasa. Jamaa kufanya kazi hawataki. Wao ni pombe na ushirikina tu. What do they expect!?.Na sisi huku tuwaanzishe hao Makaburu basi ..Tuanzie TBL,NBC,Migodini huko Kahama etc..Jino kwa Jino.