Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

Mkuu Pascal dawa ya uongo ni ukweli. Kama Gwajima ni muongo kwa nini ukweli usiwekwe hadharani ili kuthibitisha uongo wake? Uongo ukikaliwa kimya maana yake nini? Wakati mwingine huwa hueleweki, inawezekana unaongea kinyume.
 
Wanabodi,
Ni ukweli usiofichika watu wana mwamini zaidi Mchungaji Gwajima na uongo wake kumhusu Makonda kuliko wanavyo mwamini rais wao na ukweli wake kuwa Makonda is clean, hajaghushi cheti chochote wala hajafoji jina! .

Kuna ule msemo usemao "you can fool some people for sometimes but you can't fool all the people all the time" ukimaanisha unaweza kuwadanga baadhi tuu ya watu kwa wakati fulani au kwa muda fulani tuu lakini huwezi kuwadanganya watu wote na kwa wakati wote au mara zote na siku zote, lakini Watanzania ni watu wa ajabu kweli, unaweza kuwadanganya wote wakati wote!. (Taking JF as sampling ya Watanzania wote).

Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali "how does it come the same people wanachaguliwa katika chaguzi mbalimbali kwa kuja na ahadi kem kem, mwisho wa siku, wanashindwa kuzitekeleza, na bado wanawarudia na ahadi nyingine kem kem na mnawachagua tena? . Yaani wanawadanganya all the people all the time na bado tunawachagua?. Kipindi cha uchaguzi niliwahi kuuliza swali hili, sikupata majibu ya kuridhisha.

Hii kadhia ya Mkuu wetu wa Mkoa kusingiziwa uongo, imenifundisha kitu. Watanzania ni watu wa ajabu sana, ni warahisi kudanganyika na wepesi wa kusahau.

Juzi kati Mchungaji Gwajima aliibuka na uongo wa mchana kweupe na kumsingizia Makonda ameiba jina la Paul Christian, na ameghushi vyeti vya Paul Christian kujifanya ndio yeye na akafoji kuvitumia kusomea chuo kikuu na kupata ajira ukiwemo uteuzi wa rais wa JMT kuwa DC na sasa ni RC. Mchungaji Gwajima akadai kuwa jina halisi la Makonda ni Daudi Albert Bashite. Uongo huo haukuishia hapo bali alidai kuwa anavyo vyeti vya Daudi Bashite vinavyoonyesha alipata Division 0 na pia anavyo vyeti vya Paul Christian ambavyo Daudi Bashite aliviiba na kuvitumia kama vyake.

Baadhi ya sisi wenye imani haba, kama Tomato tulionyesha kutomwamini Mchungaji Gwajima kwa kumuita ni muongo hadi pale atakapoonyesha hivyo vyeti tuvione ndipo tuamini.

Kitu cha ajabu sana Watanzania wengi wamemwani Gwajima, hivyo sio tuu kumtaka Makonda aonyeshe vyeti vyake bali hadi kushinikiza ajiuzulu au atumbuliwe! . Ajiuzulu kwa kosa lipi au atumbuliwe kwa lipi? .

Gwajima ni Muongo.
Kitendo cha kuhubiri uongo na kudanganya kuwa una ushahidi lakini huutoi huo ushahidi ni uthibitisho tosha ule ulikuwa ni uongo tuu wa mchana kweupe.

Bahati yake Makonda sio tuu ni Msukuma ambapo Wasukuma hawana makuu na wana madharau sana, hivyo amemdharau, bali pia Makonda ni Mlokole hivyo amemshtakia kwa Mungu, akalia machozi madhabahuni na kusamehe.

Kwa Nini Gwajima ni Muongo? .
Kiongozi yoyote kabla ya kuteuliwa na rais, hufanyiwa vetting hivyo vyombo vya serikali vinazo taarifa zote sahihi kumhusu Makonda.

Sasa tangu kutolewa kwa uongo huu, ungekuwa na ukweli hata chembe, tungeshuhudia hatua zikichukuliwa dhidi ya udanganyifu huu.

Kitendo cha mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa dhidi ya Makonda ni uthibitisho kuwa vetting ilifanyika vizuri, jina la Paul Christian Makonda ni jina lake halisi, Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Na vyeti vyake ni vyeti vyake halisi ambavyo viko kwenye mamlaka yake ya uteuzi, hivyo Paul Makonda hapaswi kumuonyesha mtu yoyote vyeti vyake ili tuu kujibu uongo wa Gwajima.

Sisi Watanzania wote katika umoja wetu ndio tuliomchagua kwa kura nyingi, Dr. John Pombe Magufuli awe rais wetu, kama rais wetu amemwamini Makonda, who is Gwajima kutuletea uongo na kuuamini.

Wewe ambaye unajiita ni Mtanzania mzalendo, unawezaje kumwamini Gwajima kuliko unavyo mwamini rais wako?!.

Nikikuuliza kati ya uongo wa Gwajima kuwa Paul Makonda ni Daudi Bashite na ukweli wa rais Magufuli kuwa Paul Makonda ni Paul Makonda ndio maana mpaka sasa ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ubamwamini nani? .
Shuhudia jinsi Watanzania walivyo watu wa ajabu, yaani wanamwamini Mchungaji Gwajima kuliko hata rais wao! .

Utafiti na Sampling ya Watanzania.
Utafiti huu uko based on jf, kuwatumia wana jf kama cross section ya sampling ya Watanzania wote. Ukipandisha bandiko lolote kumtetea Makonda, posts za kukupinga ni nyingi kuliko posts za kukosoa.

Huu ni uthibitisho kuwa sisi Watanzania we don't think, name hata kwenye chaguzi zetu huwa tunajichagulia tuu kufuata mkumbo.

When can we start to think kabla hatujaendelea kudanganywa tena na tena na tena?!.

Paskali.
Dawa ni kuweka hadharani vyeti vya Mh. RC kama ilivyokuwa wakati wa uteuzi ya yule nadhani alikuwa DC ambaye watu walisema hakuwa na elimu sijui nini hadi ikalazimika vyeti vyake viende hadi ikulu na kuonyeshwa mbele ya waandishi wa habari ili kuzima uvumi na umbeya wa watu. Sasa hii ya Mh. Makonda mbona inachukuwa muda mrefu hivi kiasi cha kuwafanya watu waanze kuuamini "umbeya" wa akina Gwajima? Tunaomba vyeti vya kiongozi wetu mpendwa na shujaa vionyeshwe mbele ya kamera ili watu waachane na ajenda hii.
 
Vetting iliyofanyika mtu akaja hadi ikulu ndio anaambiwa sio wewe au ile ya kuteua watu hata wasiende kwenye hizo post
 
Makonda Daudi Albert aliwabeep watu sasa wameamua kumpigia cha ajabu waandishi njaa nao wamejipenyeza humo kutumia fursa hiyo kula vicent vya GSM na Daud mwenyewe, huo mladi wako mpya uliobuni Pasco utakutia Aibu na sasa watanzania watakudharau sana, haiwezekani unamtetea mtu aliyetaka kuwabambikia watu kesi kisha unamlaumu mtu anayejihami, njaa itakumaliza kiuandishi.
Msameheni bure, paskali amebanwa. Please refrain from using your real ids.
 
Kila siku Magufuli,Makonda na Gwajima. Unachosha na ukabila na ukanda wako.
Kuna tatizo moja hapa
1.Makonda ni Musukuma
2.Gwajima ni Musukuma wa Misukule
3.Magufuli ni Musukuma wa Chato
4.Magufuli kafanya kazi kubwa sana akiwa Waziri na kila mtu alimpenda tatizo wanaompinga hawakutaka awe rais
5.Issue ya Makonda ina hitaji watu kufikiria sana !Huwezi kutaka vyeti vyake wakati wanao chunguza nao hawana vyeti!
 
Makonda akija na ushahidi hakuna wa kumpinga tatizo ni pale hana ushahidi?
Anapaswa kuanika vyeti vyake hadharani watanzania ni waelewa watapima mbivu na mbichi
Thubutuhawezi kutoa maana kuna watu wamekaa na mazagazaga yao wanamsubiri afurukute tu
 
Wanabodi,
Ni ukweli usiofichika watu wana mwamini zaidi Mchungaji Gwajima na uongo wake kumhusu Makonda kuliko wanavyo mwamini rais wao na ukweli wake kuwa Makonda is clean, hajaghushi cheti chochote wala hajafoji jina! .

Kuna ule msemo usemao "you can fool some people for sometimes but you can't fool all the people all the time" ukimaanisha unaweza kuwadanga baadhi tuu ya watu kwa wakati fulani au kwa muda fulani tuu lakini huwezi kuwadanganya watu wote na kwa wakati wote au mara zote na siku zote, lakini Watanzania ni watu wa ajabu kweli, unaweza kuwadanganya wote wakati wote!. (Taking JF as sampling ya Watanzania wote).

Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali "how does it come the same people wanachaguliwa katika chaguzi mbalimbali kwa kuja na ahadi kem kem, mwisho wa siku, wanashindwa kuzitekeleza, na bado wanawarudia na ahadi nyingine kem kem na mnawachagua tena? . Yaani wanawadanganya all the people all the time na bado tunawachagua?. Kipindi cha uchaguzi niliwahi kuuliza swali hili, sikupata majibu ya kuridhisha.

Hii kadhia ya Mkuu wetu wa Mkoa kusingiziwa uongo, imenifundisha kitu. Watanzania ni watu wa ajabu sana, ni warahisi kudanganyika na wepesi wa kusahau.

Juzi kati Mchungaji Gwajima aliibuka na uongo wa mchana kweupe na kumsingizia Makonda ameiba jina la Paul Christian, na ameghushi vyeti vya Paul Christian kujifanya ndio yeye na akafoji kuvitumia kusomea chuo kikuu na kupata ajira ukiwemo uteuzi wa rais wa JMT kuwa DC na sasa ni RC. Mchungaji Gwajima akadai kuwa jina halisi la Makonda ni Daudi Albert Bashite. Uongo huo haukuishia hapo bali alidai kuwa anavyo vyeti vya Daudi Bashite vinavyoonyesha alipata Division 0 na pia anavyo vyeti vya Paul Christian ambavyo Daudi Bashite aliviiba na kuvitumia kama vyake.

Baadhi ya sisi wenye imani haba, kama Tomato tulionyesha kutomwamini Mchungaji Gwajima kwa kumuita ni muongo hadi pale atakapoonyesha hivyo vyeti tuvione ndipo tuamini.

Kitu cha ajabu sana Watanzania wengi wamemwani Gwajima, hivyo sio tuu kumtaka Makonda aonyeshe vyeti vyake bali hadi kushinikiza ajiuzulu au atumbuliwe! . Ajiuzulu kwa kosa lipi au atumbuliwe kwa lipi? .

Gwajima ni Muongo.
Kitendo cha kuhubiri uongo na kudanganya kuwa una ushahidi lakini huutoi huo ushahidi ni uthibitisho tosha ule ulikuwa ni uongo tuu wa mchana kweupe.

Bahati yake Makonda sio tuu ni Msukuma ambapo Wasukuma hawana makuu na wana madharau sana, hivyo amemdharau, bali pia Makonda ni Mlokole hivyo amemshtakia kwa Mungu, akalia machozi madhabahuni na kusamehe.

Kwa Nini Gwajima ni Muongo? .
Kiongozi yoyote kabla ya kuteuliwa na rais, hufanyiwa vetting hivyo vyombo vya serikali vinazo taarifa zote sahihi kumhusu Makonda.

Sasa tangu kutolewa kwa uongo huu, ungekuwa na ukweli hata chembe, tungeshuhudia hatua zikichukuliwa dhidi ya udanganyifu huu.

Kitendo cha mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa dhidi ya Makonda ni uthibitisho kuwa vetting ilifanyika vizuri, jina la Paul Christian Makonda ni jina lake halisi, Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Na vyeti vyake ni vyeti vyake halisi ambavyo viko kwenye mamlaka yake ya uteuzi, hivyo Paul Makonda hapaswi kumuonyesha mtu yoyote vyeti vyake ili tuu kujibu uongo wa Gwajima.

Sisi Watanzania wote katika umoja wetu ndio tuliomchagua kwa kura nyingi, Dr. John Pombe Magufuli awe rais wetu, kama rais wetu amemwamini Makonda, who is Gwajima kutuletea uongo na kuuamini.

Wewe ambaye unajiita ni Mtanzania mzalendo, unawezaje kumwamini Gwajima kuliko unavyo mwamini rais wako?!.

Nikikuuliza kati ya uongo wa Gwajima kuwa Paul Makonda ni Daudi Bashite na ukweli wa rais Magufuli kuwa Paul Makonda ni Paul Makonda ndio maana mpaka sasa ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ubamwamini nani? .
Shuhudia jinsi Watanzania walivyo watu wa ajabu, yaani wanamwamini Mchungaji Gwajima kuliko hata rais wao! .

Utafiti na Sampling ya Watanzania.
Utafiti huu uko based on jf, kuwatumia wana jf kama cross section ya sampling ya Watanzania wote. Ukipandisha bandiko lolote kumtetea Makonda, posts za kukupinga ni nyingi kuliko posts za kukosoa.

Huu ni uthibitisho kuwa sisi Watanzania we don't think, name hata kwenye chaguzi zetu huwa tunajichagulia tuu kufuata mkumbo.

When can we start to think kabla hatujaendelea kudanganywa tena na tena na tena?!.

Paskali.
mwambie makonda amuumbue gwajima basi aeke vyeti mezani tu
 
Hebu tumpekue mayala! Kitu gani kilimtoa ITV na TBC na sasa bila aibu njaa inamfedhehesha! Yawezekana walimwona ni mzigo kama Bashite wakaamua kuutua!
 
Pascal siku hizi sikuelewi.
Kwani Rais ameshasema chochote kuhusu cheti cha Makonda?
Najua ilivyotoka tuhuma (kwenye mitandao) kuhusu cheti cha yule mkurugenzi mteule Rais alijibu na kuagiza cheti kitolewe na kipigwe picha maridhawa.
Safari tuhuma za cheti cha Makonda zimetoka kwenye mitandao na kupigiwa kelele kubwa sana na Gwajima (akiwa na familia yake) lakini mkuu hajasema chochote.

Au we Pasco Rais kakunong'oneza majibu yake?
 
Back
Top Bottom