Watanzania ni watu makini saaaana!

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
Pongezi ziwaendee wale wote ambao hawakujitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu uliopita.

Katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa february mh rais kikwete ameeleza vizuri sana kwamba marais waliomtangulia pamoja na yeye hawana uwezo wa kumaliza matatizo yanayoikumba nchi yetu.amesisitiza hata yeye akimaliza muda wake 2015 matatizo yatabaki palepale.
Hii inamaanisha HAKUNA kiongozi yoyote(dr.slaa included) anayeweza kumaliza matatizo ya watanzania.
Kwa kutambua ukweli huu watanzania wenye akili timamu(mimi nikiwemo) hawakujitokeza kupiga kura pamoja na kujiandikisha kwa wingi.
Napenda kuitumia fursa hii kutoa pongezi kwa wale wote ambao walisusia zoezi la upigaji kura mwaka jana,nawaomba waendelee na moyo huo huo kwani hatuhitaji rais, mbunge au diwani ili kupata milo yetu miwili au kaptula na sarawili zenye viraka.
Nashauri tuunganishe nguvu zetu na kuunda umoja wa kususia Uchaguzi Tanzania(UKUTA).umoja huu utahakikisha tunaendesha mambo yetu bila ya viongozi wa kisiasa kutuingilia.

IMETOLEWA NA:
Muathirika wa mara nyingi wa ugonjwa kipindupindu.
 
pongezi ziwaendee wale wote ambao hawakujitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu uliopita.

Katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa february mh rais kikwete ameeleza vizuri sana kwamba marais waliomtangulia pamoja na yeye hawana uwezo wa kumaliza matatizo yanayoikumba nchi yetu.amesisitiza hata yeye akimaliza muda wake 2015 matatizo yatabaki palepale.
Hii inamaanisha hakuna kiongozi yoyote(dr.slaa included) anayeweza kumaliza matatizo ya watanzania.
Kwa kutambua ukweli huu watanzania wenye akili timamu(mimi nikiwemo) hawakujitokeza kupiga kura pamoja na kujiandikisha kwa wingi.
Napenda kuitumia fursa hii kutoa pongezi kwa wale wote ambao walisusia zoezi la upigaji kura mwaka jana,nawaomba waendelee na moyo huo huo kwani hatuhitaji rais, mbunge au diwani ili kupata milo yetu miwili au kaptula na sarawili zenye viraka.
Nashauri tuunganishe nguvu zetu na kuunda umoja wa kususia uchaguzi tanzania(ukuta).umoja huu utahakikisha tunaendesha mambo yetu bila ya viongozi wa kisiasa kutuingilia.

Imetolewa na:
Muathirika wa mara nyingi wa ugonjwa kipindupindu.

unaumwa!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom