technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,701
- 58,760
CHADEMA walipofanya siasa za kikondoo ndani ya utawala katili tuliwaponda Sasa wamebadilika na wameanza siasa kali kuna watanzania eti wanawapunda awa nawaita wapumbavu mimi.
Sisi natural opposition tunataka siasa kali kuliko hata walizofanya juzi wale wamama wawili haiwezekani unapambana na wauni kama ccm ya sasa bado unaendesha siasa safi no.
Mimi nimependa viongozi kuonyesha njia huu ni mwaka wa uchaguzi tutafanya siasa kali hakuna polisi wanaweza kupambana umma never tuwe mbogo mtanyanganye majimbo yetu kwa nguvu? mjipange sana hatutakubali mwaka huu.
Mjipange mtufunge wote tuone nani atapoteza kati ya umma na dola hakuna mtu anyeweza kuendelea kuvumilia upuuzi unaendelea.