Watanzania nawauliza ?

FB na JF wapi na wapi bwana!!! Mambo ya kitabu sura yaacheni huko huko!!!
 
mtoa mada ni limbukeni wa ulaya,ulaya ipi unayoiongelea wewe ujue siku hizi ulaya na manzese wala si mbali,najivunia kuishi Mwananyamala:washing:

Kw mama zakalia teh!teh!teh!
 
halafu wakukuona hujakaa sawa huku ulaya,wanakushit...mie imenitokea sijui walikuwa wanategemea nini kwangu lol:lol::lol::lol::smash:
 
Hadi kikwete ndani ya facebook,lowasa,slaa ndani ya facebook,hata nyerere alikuwemo facebook,obama ndani ya facebook,duh hawa pia watoto ....inaonekana wote washamba hata facebook hamuijuiiii,

Pia ulaya musifananishe na mbagala kabisaa,,,,,,miaka mia tanzania haitofika kiwango cha maisha ya ulaya,bongo ndo kwanza munalia na umeme ikisha munasema mbagala ulayaaa
Hii nyekundu nimependa zaidi Mkuu. Nakumbuka jinsi Nyerere na Jomo Kenyatta walivyokuwa wanalumbana katika Facebook.
 
Back
Top Bottom