Watanzania na Tanzania yetu tumerogwa, siyo bure

Watanzania na Tanzania yetu tumerogwa, siyo bure

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,591
Reaction score
17,561
Hapa chini ni nchi 10 bora Afrika kwa uzalishaji wa nyanya.

Sisi pomoja na kuwa na ardhi ya kutosha na vyanzo lukuki vya maji ni wa pili kutoka mwisho.

1- Egypt [emoji1093] 7,943 tons

2- Nigeria [emoji1184] 2,243 tons

3- Tunisia [emoji1249] 1,303 tons

4- Algeria [emoji1026] 1,280 tons

5- Morocco [emoji1173] 1,231 tons

6- Cameroon [emoji1062] 1,182 tons

7- Sudan [emoji1232] 617 tons

8- South Africa [emoji1221] 580 tons

9- Tanzania [emoji1241] 539 tons

10- Kenya [emoji1139] 410 tons

Waziri wa kilimo ukimwambia a resign anakuona MCHAWI kumbe wao ndo wachawi wakubwa
 
Hapa chini ni nchi 10 bora Africa kwa uzalishaji wa nyanya.

Sisi pomoja na kuwa na ardhi ya kutosha na vyanzo lukuki vya maji ni wa pili kutoka mwisho.[emoji24]
 
Hapa chini ni nchi 10 bora Africa kwa uzalishaji wa nyanya.

Sisi pomoja na kuwa na ardhi ya kutosha na vyanzo lukuki vya maji ni wa pili kutoka mwisho.

1- Egypt [emoji1093] 7,943 tons

2- Nigeria [emoji1184] 2,243 tons

3- Tunisia [emoji1249] 1,303 tons

4- Algeria [emoji1026] 1,280 tons

5- Morocco [emoji1173] 1,231 tons

6- Cameroon [emoji1062] 1,182 tons

7- Sudan [emoji1232] 617 tons

8- South Africa [emoji1221] 580 tons

9- Tanzania [emoji1241] 539 tons

10- Kenya [emoji1139] 410 tons

Waziri wa kilimo ukimwambia a resign anakuona MCHAWI kumbe wao ndo wachawi wakubwa
Mimi nalima nyanya hapa Bonde la Ruvu upande wa Bagamoyo , naweza kukuhakikishia waliorOgwa ni nyinyi wenye mitaji mnaogopa kuanzisha viwanda vya ku process nyanya .

Sisi wakulima inafika tunauza tenga kwa Sh. 10,000 tutawezaje kuongeza ukubwa wa mashamba ?
 
Vingine tujipe pongezi, kumbe tupo miongoni mwa 10 best, sasa unalalamika nini? Ebu jipongeze angalau kumpa moyo waziro wa Kilimo. Kila siku kuji nanga tu hakuna siku ya pongezi?
Waziri wa Kilimo, Waziri wa viwanda na Biashara pamoja na Rais hawakwepi lawama.
Chama Cha mapinduzi kinachounda serikali haikwepi lawama

Waziri wa fedha ma mipango haikwepi lawama!
Lawama Gani:

Licha ya Tanzania kuwa miongoni mwa wazalishaji kumi wa Kwanza wa nyanya barani Africa hakuna sectorial linkage Kati ya wizara Kilimo na wizara ya viwanda na Biashara Ili kuongeza mnyororo wa thamani wa bidhaa hiyo Jambo ambalo licha ya kuongeza mapato ya serikali KWA kuwa na processed tomato na kuacha kuuza raw tomatoes bado wigo wa Ajira ungepanuka kuanzia kwenye Kilimo Mpaka viwandani, na Biashara KWA ujumla!

Nia aibu ukifika msimu wa kuvuna nyanya nyanya inashuka Bei Mpaka wakulima wanaamua kulishia ng'ombe kuhofia isiharibike!

meanwhile serikali ingeweka mazibgira Bora ya uanzishwaji wa viwanda vya kusindika nyanya hali hiyo isngejitokeza, matokeo yako tunakula tomato paste kutoka arabuni na Egypt!

Ukisema haya unaonekana pinga pinga au mchawi!

Waambieni vuongozi wawe visionary waone mbali!

tungekua tunaexpoer processed tomato na sio raw tomato halafu tuimport processed one!
Amkeni
 
Waziri wa kilimo hana Makosa, mwenye makosa ni Waziri wa viwanda , Biashara na uwekezaji!!!
Waziri wa Kilimo hatuwezi kumtoa hapa KWA sababu wanakaa pamoja kwenye BLM so Kila mipango ya serikali yafaa kusanikishwa KWA pamoja! Wakati waziri wa Kilimo anajenga mazibgira ya kuboost uzalishaji inabidi ajue consumers ni akina nani hivyo lazima acconect dot na mwenzie wa viwanda na Biashara Ili kuona je kuna mazingira bora ya uwekezaji katika viwanda Ili kufanyanprocessing ya hiyo nyanya au kuuza fresh tomato nje ya nchi ikiwa imeogezewa thamani?
 
Kwa kipi hasa a resign kivipi? Acha uchawi mkuu,
KWA kushindwa kuona mbali na kufanya kazi KWA mazoea, unadhani hawa jamaa tungekua tunawashupalia wangekua wanakaa maofisini tu au kuzurura kuisifia serikali Yao! Lazima wangekua na mambo mapya wakijua kuwa Sisi ni mabosi wao na wao ni watumishi wetu na wakishindwa kazi tutawakataa! Uhudumu wao katika hizo nafasi ni dhamani na tunawalipa KWA tax zetu! Kwahiyo lazima wafanye kazi kama mchwa! Kama hawawezi wapishe!
 
Wewe una kipi kipya cha kumwelekeza Bashe what's new ideas do you have? Au ndio hizo blah blah
 
Mimi nalima nyanya hapa Bonde la Ruvu upande wa Bagamoyo , naweza kukuhakikishia waliorOgwa ni nyinyi wenye mitaji mnaogopa kuanzisha viwanda vya ku process nyanya .

Sisi wakulima inafika tunauza tenga kwa Sh. 10,000 tutawezaje kuongeza ukubwa wa mashamba ?
Kqanza hongera Sana mkuu!
Lakini yamkini watu wanamitaji mikubwa yakuanzisha viwanda vya kusindika nyanya lakini wakitizama
Sera ya serikali katika uwekezaji na Biashara katika hiyo secta wanakata tamaa.
Angalia tu jinsi soko lilivyofurika tomato paste Toka arabuni! Useme utaprocess nyanya umuuzie Nani wakati export policy haileweki naa TBS wako usingizini hawajui wanapaswa kushughulikia standards Ili kumeet international market standards!
 
Hapa chini ni nchi 10 bora Afrika kwa uzalishaji wa nyanya.

Sisi pomoja na kuwa na ardhi ya kutosha na vyanzo lukuki vya maji ni wa pili kutoka mwisho.

1- Egypt [emoji1093] 7,943 tons

2- Nigeria [emoji1184] 2,243 tons

3- Tunisia [emoji1249] 1,303 tons

4- Algeria [emoji1026] 1,280 tons

5- Morocco [emoji1173] 1,231 tons

6- Cameroon [emoji1062] 1,182 tons

7- Sudan [emoji1232] 617 tons

8- South Africa [emoji1221] 580 tons

9- Tanzania [emoji1241] 539 tons

10- Kenya [emoji1139] 410 tons

Waziri wa kilimo ukimwambia a resign anakuona MCHAWI kumbe wao ndo wachawi wakubwa
Tunazidiwa na walioko jangwani
 
Back
Top Bottom