Watanzania Mungu awasaidie

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,647
Reaction score
58,453
Naamini ni wetu sote

Kariakoo- Dar watu wanalala barabarani usiku

Makoroboi - Mwanza watu wanalala nje

Arusha mjini watu kibao wanalala nje vijana jua ni lao na mvua ni yao

Kwa Sasa Kuna baridi Kali Sana Arusha nimepita majuzi na mwanza ndio usiseme!!

Nimeumia Sana Leo kuwaona mpaka wanawake wamelala nje ilala na kariakoo

Mungu visaidie vizazi vyetu Mungu wasaidie Watanzania Hawa wajikwamue.

Najua Kuna watu watawasema vibaya Hawa watu lakini nakwambia ujafa ujaumbika haya sio maisha ni mateso hakuna Mtanzania ambaye anapenda kuishi maisha haya

Mungu tusaidie!!
 
Fikiria na kuna mtu peke yake anarejesha mzigo kama huu serikalini. Means kuna zingine hazikurejeshwa na haijulikani ilikuwa kiasi gani. Huu ni mfano tu wa namna watu wanakula nchi.

Nakala mtoto Abd.
 
Maisha hayawezi kuwa sawa..
Kubali au kataa
Wanyonge watabaki kuwa
Fikiria na kuna mtu peke yake anarejesha mzigo kama huu serikalini. Means kuna zingine hazikurejeshwa na haijulikani ilikuwa kiasi gani. Huu ni mfano tu wa namna watu wanakula nchi.View attachment 3389575

Nakala mtoto Abd.
View attachment 3389573
Maisha hayawezi kuwa sawa ...
Labda daudi arudi na kombeo la kufukuza UMIMI kama alyvomuua goliath 🤔😂
 
Sema uzuri wa Tz unaweza kwenda huko Sikonge. Ukaomba shamba kijiji kikakupa. Ukajenga nyumba ya kienyeji na kuanza kujilimia viazi utamu vya kula.
 
Homeless wapo hata kwenye nchi zilizoendelea,sio jambo la ajabu sana
Kuanzia USA mpaka Europe kuna Homeless kibao tu,

Mungu awasaidie watafutao maisha kwa njia ya halali.
 
Sema uzuri wa Tz unaweza kwenda huko Sikonge. Ukaomba shamba kijiji kikakupa. Ukajenga nyumba ya kienyeji na kuanza kujilimia viazi utamu vya kula.
Sasa kwa nini hawaendi huko Sikonge??
 
Xi Jinping atapinga kwao China hakuna homeless

Mwamba akiwa nje ya mjengo wake, California moja

Wakati serikali ya Marekani ikiwatekeleza homeless, serikali ya China inawajengea nyumba na kuishi bure



Hii ndio tofauti kati ya Capitalism na Socialism with Chinese characteristics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…