Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Ukweli utajitenga, sioni haja ya kuupigia upatu upinzani. Wanamuda mrefu wa kujifunza!!! Ni labda baada ya 50 years ndiyo wanaweza kuwa na sifa za kuongoza nchi.hiki ni kibwengo au? education? experience. enzi Hitler alikuwa anajua sehemu za kuwapeleka.
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

Sawa lakini tuna lakujifunza kutoka kwa hao wenzetu, maana wapinzani wanapokuwa wanalilia kuondoa chama tawala wana mbwembwe nyingi kweli, lakini wakipta tu madaraka wanaingia kwenye uhalisia wa uongozi na hapo ndipo utakapo shuhudia urafi na ukorofi wao.Siasa za Tanzania haziongozwi kwa upepo wa wakenya unapepea kuelekea wapi.
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM ni chama kongwe na hawakurupuki ktk maamuzi. We angalia mchakao wa kusuluhisha hili suala la madakitari, ni suala ambalo limefanywa kwa umakini na linaendelea kutatuliwa kwa umakini. Sasa hao kenya tangu waweke upinzani;
Je kumfukuza mtu au kumfuta mtu kazi ni suluhisho? si ni ujinga? Kwani serikali ya CCM wasingeweza kuwafukuza ma Dr? Mbona wameamua kutumia njia ya mahakama wakati huo wanaendelea na mazungumuzo! Msiniite kiduku, naomba mtafakari!!
- Mwaikibaki na Raila waligombana
- Raila alijilimbikizia mali kwa kuchukua mikataba ya mafuta toka Arabuni,
- Mwaka 2007 wakenya wakachinjana kwa sababu ya uchu wa madaraka wa hao wapinzani
- Na sasa hawataki kuwasikiliza wanachi wanyonge waliowapatia kura na wameamua kuwafukuza kazi!
Duh! sawa bwana, Ila ukweli ndiyo huo, sina haja ya kukuelewesha zaidi ya hapo, CDM ni wababe na wamekaa kishari shari, mfano zitto mara wagombane na mwenyekiti mara na Dr Slaa, mara watofautiane na kuweka hadharani migogoro yao, ina maana wakipewa nchi itakuwa kama kenya, Mwakibaki a.k.a Dr Slaa anaweza kung'ang'ania madaraka na zitto a.k.a Raila anaweza kutaka kuwa rais, na ndipo utakapoona nchi haiwezai kusonga mbeleukamsihi baba na mama yako labda na mpenzi wako kama atakusikiliza
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM ni chama kongwe na hawakurupuki ktk maamuzi. We angalia mchakao wa kusuluhisha hili suala la madakitari, ni suala ambalo limefanywa kwa umakini na linaendelea kutatuliwa kwa umakini. Sasa hao kenya tangu waweke upinzani;
Je kumfukuza mtu au kumfuta mtu kazi ni suluhisho? si ni ujinga? Kwani serikali ya CCM wasingeweza kuwafukuza ma Dr? Mbona wameamua kutumia njia ya mahakama wakati huo wanaendelea na mazungumuzo! Msiniite kiduku, naomba mtafakari!!
- Mwaikibaki na Raila waligombana
- Raila alijilimbikizia mali kwa kuchukua mikataba ya mafuta toka Arabuni,
- Mwaka 2007 wakenya wakachinjana kwa sababu ya uchu wa madaraka wa hao wapinzani
- Na sasa hawataki kuwasikiliza wanachi wanyonge waliowapatia kura na wameamua kuwafukuza kazi!
Mtoboasiri, sikiliza! Ukilinganisha upiznani wa hizo nchi ni stable, hwezi kulinganisha na upinzani wa TZ ambao wamejaa njaa (mfano David Kafulila alikuwa na haja gani ya kupiga magoti na kulia ili asamehewe?) na CHADEMA ni chama kilicho jaa migogoro ya hapa na pale, labda kikiundwa chama kingine chenye mlengo na dhamira ya dhati ya kusikiliza matatizo ya watanzania walio wengi na kisiwe na migogoroAma kweli we ni kiduku! Ghana, Zambia, Mauritius na Cape Verde siasa zao zikoje na maendeleo yao yakoje? Kenya unakokusema umewahi hata kufika ukaona walichokifanya tangu 2007, au unajiropokea tu b.w.e.g.e wee?
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!
Mtoboasiri, sikiliza! Ukilinganisha upiznani wa hizo nchi ni stable, hwezi kulinganisha na upinzani wa TZ ambao wamejaa njaa (mfano David Kafulila alikuwa na haja gani ya kupiga magoti na kulia ili asamehewe?) na CHADEMA ni chama kilicho jaa migogoro ya hapa na pale, labda kikiundwa chama kingine chenye mlengo na dhamira ya dhati ya kusikiliza matatizo ya watanzania walio wengi na kisiwe na migogoro