GE2025 Watanzania msifanywe wajinga shtukeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Hidden Diamond

Senior Member
Joined
Jan 31, 2024
Posts
155
Reaction score
318
Maandamano yanayotaka kufanyika sio ya Mange Kimambi, CHADEMA, Kigogo, Sativa wala Recho Dangwa bali maandamano haya ni kwa ajili ya kuweka sawa baadhi ya mambo kwenye nchi yetu ambayo kuna baadhi ya watu wachache wanaona wenyewe ndo Wana haki pekee ya kufanya Jambo lolote ambalo wanajisikia bila kujali maumivu ya watu wengine.

Naona kuna baadhi ya watoto wa kimaskini ambao wanajua maana ya shida wameamua kuingia kwenye mkumbo pasipo kuangalia kesho yao, wameamua kukubali kutumika kwa muda kwa kupokea visenti vidogo vidogo kuwasisitiza watu wakatiki Oktoba pasipo kuangalia kesho yao.

Nimewaona baadhi ya boda boda ambao wanachumia juani wanasisitiza tukatiki Oktoba baadhi pia ya mama lishe. Hii Tanzania sio ya viongozi peke yake bali ni wote nchini ili utekaji na uonevu wa aina yoyote uishe unahitaji muamko mkubwa wa raia na sio kuwategemea wakina Mange, CHADEMA, Sarungi, watusemee sisi. Imagine polisi na jeshi wanaungana na serikali kukandamiza raia wake wanatumia kivuli cha kusema tusikubali kuharibu Amani ya nchi yetu wakati wenyewe wanatuchinja.

Maadui wa taifa ni watakaoenda kutiki Oktoba, wanaopinga maandamano na machawa wa ovyo ovyo wengine hatuwezi kwenda kutiki wakati mtu kapitishwa kwenye kura za maoni tayari anaanza kuwatishia watu eti atawaamisha wakatafute sehemu nyingine wakaishi. Oktoba zitaenda kutiki Ng'ombe na kenge Sisi wengine tutaingia barabarani.

Naona kuna baadhi ya viongozi WA CCM wanasema serikali imeleta maji, madarassa, umeme na imeleta ajira, imetengeneza barabara Sawa siku zote ni hoja zenu hizi hizi za utetezi ambazo ni dhaifu utafikiri hela mnatoa mfukoni kwenu . CCM maandamano yakifanikiwa hata mikoa miwili tu baadhi jueni Tanzania nzima yatasambaa kwa haraka sana na yakishindwa kufanyika hiyo tarehe basi Raia wa Tanzania watakuwa ni wapumbavu haijawahi tokea tangia dunia iumbwe.​
 
Watu wameshashtuka kitambo, ndio maana nguvu ya ziada inatumika
 
Kwa kweli hakuna ushetani unaoweza kufananishwa na huu unaofanywa na hawa mashetani, ushetani wa kuteka na kuua watu.

Kiongozi, hata ufanye mazuri ya kiwango gani, kama unateka na kuua watu, wewe ni shetani, hufai kwa lolote na kwa yeyote.

Haya yanayoendelea, ya utekaji na mauaji, ni lazima tusimame pamoja. Wanaounga mkono huu uharamia, nao ni mashetani kama hao wauaji wenyewe.

Kuna mambo yanaweza kuvumilika lakini kamwe haiwezi kuwa huu ushetani wa kuteka na kuua watu. Kwenye hili, tusitenganishwe kwa imani za vyama, ukabila, dini, jinsia, wala hali za kiuchumi. Tusimame pamoja kuukataa huu ushetani, na tumwombe Mungu wetu awe nasi katika kuukataa huu uharamia unaofanywa na haya mashetani yaliyovaa maumbile ya wanadamu.
 
Mtaji wa CCM ni ujinga na umasikini wa Watanganyika walio wengi.
IMG-20191109-WA0000.jpg
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
K
Naona kuna baadhi ya watoto wa kimaskini ambao wanajua maana ya shida wameamua kuingia kwenye mkumbo pasipo kuangalia kesho yao, wameamua kukubali kutumika kwa muda kwa kupokea visenti vidogo vidogo kuwasisitiza watu wakatiki Oktoba pasipo kuangalia kesho yao.
Kama ambavyo wewe unafanya!
Oktoba zitaenda kutiki Ng'ombe na kenge Sisi wengine tutaingia barabarani.
Tunasubiri ushiriki wako na sio maneno matupu. Huku kwetu tunasema 'ada ya mja kunena, muungwana ni vitenfdo'
 
Back
Top Bottom