Watanzania mnaachia wanafunzi 350 kutoroka shule kiuzembe halafu mshindane na Wakenya kielimu?

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,993
49,472
Mwamko wa elimu Tz bado uko mdogo sana, halafu hawa ndio wanashindana na Wakenya kwenye soko la ajira...
-----------------------------------------

Wanafunzi 350 wa shule ya sekondari ya Marumba katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ambao walipaswa kuwepo shuleni hapo hawajulikani walipo huku mwalimu mkuu wa shule hiyo, Bw. Michael Kapinga akisema tatizo kubwa ni mwamko mdogo wa elimu kwa wazazi hali ambayo inachangia utoro uliokithiri kwa wanafunzi na wengine kupata ujauzito.

Bw.Issa Sinambi ni afisa elimu kata ya Marumba wilaya ya Tunduru anasema shule hiyo inategemewa na wanafunzi wa kata mbili na kwamba tatizo kubwa linalochangia utoro huo ni baadhi yao kukaa umbali mrefu.
 
Tanzania ni kubwa kuliko unavyofikiri na changamoto zake ni complex na ndiyo maana serikali iliamua kufanya elimu ya primary na secondary ni bure na msisitzo wa kuongeza waalimu ambao ni wahitimu wa vyuo vikuu unaendelea kwa kasi.
 
Back
Top Bottom