Some people have itchy fingers mkuu kama ditopile, unaweza shoot mtu kisa amekanyaga ya la kuku wako kwa bahati mbaya [emoji23] [emoji23].We we acha izo......kama unaona wanakuibia....Fanya kazi mwenyewe au Fanya nao kazi.....alafu beba bastola.....nobody messes with a guy with the gun
Mkuu inaonekana haya mambo yamekukuta nini ndio maana umeamua kutoa la moyoni.[emoji85] [emoji85]1. Unaanzisha mradi wako wa kuku au nguruwe shamba, kuna watu watakuja watavunja wataiba kuku au nguruwe wako.
2. Unamuajiri mfanyakazi akutunzie shamba huku unamlipa. Hafanyi kazi anazotakiwa kufanya na bado anataka kulipwa.
3. Unamuajiri mtu akusimamie kwenye biashara, anakosa uaminifu anakuibia.
N.k
Tatizo la watanzania ni wezi na wanakosa uaminifu. Wanataka wasimamiwe back to back. Wanataka walindwe usiku na mchana.
Huwa najiuliza hii ni tabia au ni dhiki? Inakuaje uajiriwe na unalipwa mshahara na bado unamibia muajiri wako? Kama mshahara ni mdogo si uache kazi ukatafute wanapolipa zaidi?
Mbona mnawakwaza wajasiriamali na wafanyabiashara? Kama huwezi kuwa muaminifu si uende kwa amani kuliko kuwa mwizi au kuchoresha ramani za wizi?
Mkuu una point nzuri sana hapo uliposema; Tatizo ni ukosefu wa ustaarabu.Tatizo kubwa ni ukosefu wa ustaarabu kuna jamii zimestaarabika pamoja na kuwa maskini hakuna wizi wa kijinga kijinga nenda Zanzibar au tanga au kahama wizi wa kwa kijinga upo Kaskazini moshi Arusha wanajifanya wajanja kumbe hawana ustaarabu
1. Unaanzisha mradi wako wa kuku au nguruwe shamba, kuna watu watakuja watavunja wataiba kuku au nguruwe wako.
2. Unamuajiri mfanyakazi akutunzie shamba huku unamlipa. Hafanyi kazi anazotakiwa kufanya na bado anataka kulipwa.
3. Unamuajiri mtu akusimamie kwenye biashara, anakosa uaminifu anakuibia.
N.k
Tatizo la watanzania ni wezi na wanakosa uaminifu. Wanataka wasimamiwe back to back. Wanataka walindwe usiku na mchana.
Huwa najiuliza hii ni tabia au ni dhiki? Inakuaje uajiriwe na unalipwa mshahara na bado unamibia muajiri wako? Kama mshahara ni mdogo si uache kazi ukatafute wanapolipa zaidi?
Mbona mnawakwaza wajasiriamali na wafanyabiashara? Kama huwezi kuwa muaminifu si uende kwa amani kuliko kuwa mwizi au kuchoresha ramani za wizi?
Haya maswali hata mi najiuliza sana majibu, watanzania wengi hawaaminiki kabisa. Niliwah kufungua stationary pale Mabibo hostel, yule mfanyakazi aliniibia pesa nyingi sana akatoroka. Maan nilikuwa namwamini na mm nabanwa na shughuli nyingi namwachia mauzo hata ya mwezi mzima, siendi kuchukua, siku alivyonitendea siamini mpaka leo.Ila ajabu zaidi ni pale mtu anakuja kukuvunjia kwenye biashara yako halafu anaiba.
Yani nashindwa kuelewa kabisa.
Inakufanya hadi unakuwa mtumwa wa mradi wako.
Huna amani kabisa.
Unaanza kazi wiki ya pili umefiwa na baba mkubwa, baada ya sikutatu jirani, baada ya mwezi binamu. Haya makampuni ya kigeni hayanunui hiyo biashara.Uvivu, wizi ni sifa za watanzania walio wengi. Management skills ni sifuri kabisa kuanzia serikalini hadi kwa watu binafsi. Muda hauna thamani kabisa kwetu.
Sisi kama wanugu ukitupa Kazi in a month tunakuja kazini labda siku14 siku zingine tunaumwa, tumeenda msibani, tumekosa usafiri na sababu zingine kede kede
Huwa nasema Kazi anayofanya mkenya mmoja inahitaji watanzania watatu au wazimbabwe saba (hawa ni wavivu mwisho). Ndiyo ukweli wenyewe samahani lakini
Hii ya ustaarabu imenifanya nikafukuza mtu jana kazi aiseeee...[emoji51] [emoji51]Mkuu una point nzuri sana hapo uliposema; Tatizo ni ukosefu wa ustaarabu.
Haya maswali hata mi najiuliza sana majibu, watanzania wengi hawaaminiki kabisa. Niliwah kufungua stationary pale Mabibo hostel, yule mfanyakazi aliniibia pesa nyingi sana akatoroka. Maan nilikuwa namwamini na mm nabanwa na shughuli nyingi namwachia mauzo hata ya mwezi mzima, siendi kuchukua, siku alivyonitendea siamini mpaka leo.