Yaani ni kama ulikua kwenye akili yangu hapa nilipo nimeshamfukuza mfanyakazi kwa uzembe na kukosa uaminifu na mwingine nimempeleka police kwa wizi yani majority ya watanzania ni hopeless kabisa mtu unamtreat kama ndugu yako mpaka unamtatulia matatizo yake ya kifamilia mbali na mshahara lakini anarudi anakuibia au anachezea mahesabu kukutapeli.
Hapana weusi wamezidiSio watz tu mkuu! Wizi ni tabia ya watu wote weusi kwa weupe!
1. Unaanzisha mradi wako wa kuku au nguruwe shamba, kuna watu watakuja watavunja wataiba kuku au nguruwe wako.
2. Unamuajiri mfanyakazi akutunzie shamba huku unamlipa. Hafanyi kazi anazotakiwa kufanya na bado anataka kulipwa.
3. Unamuajiri mtu akusimamie kwenye biashara, anakosa uaminifu anakuibia.
N.k
Tatizo la watanzania ni wezi na wanakosa uaminifu. Wanataka wasimamiwe back to back. Wanataka walindwe usiku na mchana.
Huwa najiuliza hii ni tabia au ni dhiki? Inakuaje uajiriwe na unalipwa mshahara na bado unamibia muajiri wako? Kama mshahara ni mdogo si uache kazi ukatafute wanapolipa zaidi?
Mbona mnawakwaza wajasiriamali na wafanyabiashara? Kama huwezi kuwa muaminifu si uende kwa amani kuliko kuwa mwizi au kuchoresha ramani za wizi?
Mkuu uzi wako ni wakutia huruma sana hasa unapoamua kujikwamua ila jamaa wakakuotea na kuiba kila kitu bandani mpaka mayai yaliyotamiwa.....sema kuna kasehemu umekosea kusema kama "umechoka si uache kazi ukatafute mahali pengine".hapo tu mkuu
Amigo kumbe wewe sio mtz? OoohhhKwahiyo tuweke maroboti badala ya watu?
Hongera ww mwenyewe ulipata wasaa wa kuhusika na mama alikuepo piaEnhee...unaona sasa...
Huo ni mfano mzuri sana.
Muda si mrefu ulopita nimekamilisha ujenzi.
Msimamizi mkuu alikuwa ni mama yangu pamoja na mimi mwenyewe.
Hakuna hata siku moja ambayo tulimpa fundi hela aende kununua mahitaji.
Tulikuwa tunaenda wenyewe kununua vitu [inspiration ya ule uzi wangu wa Nabaki Afrika..unakumbuka?] na 'site' tulihakikisha mmoja wetu anakuwepo nyakati zote...kuanzia asubuhi mafundi wanapofika hadi jioni wanapomaliza kazi.
Ndo maana nikasema hapo juu kuwa cha msingi na muhimu ni jinsi gani utakabiliana nayo pindi yanapotokea.
Na naweza pia kuongeza kuwa namna ambavyo utakuwa umejiandaa kuzuia utokeaji wake nayo ni muhimu sana.
Nakuunga mkonoNi kweli lakina kwa sisi Watanzania ni almost 80 percent tunashiriki wizi
inaitwa 'kupiga'
Fundi anakujengea nyumba
unamuuliza gharama za ujenzi anakwambia milioni 4
unamlipa
halafu unamuuliza idadi ya mifuko ya cement
anakwambia 40.....
Cha ajabu anaiba mifuko 15
anakwambia 'imeisha'
ongeza imngine 15......
why asingeweka gharama hizo za mifuko 15 kwenye hela ujenzi ajenge
amalize?
Tatizo kubwa ni ukosefu wa ustaarabu kuna jamii zimestaarabika pamoja na kuwa maskini hakuna wizi wa kijinga kijinga nenda Zanzibar au tanga au kahama wizi wa kwa kijinga upo Kaskazini moshi Arusha wanajifanya wajanja kumbe hawana ustaarabuIla ajabu zaidi ni pale mtu anakuja kukuvunjia kwenye biashara yako halafu anaiba.
Yani nashindwa kuelewa kabisa.
Inakufanya hadi unakuwa mtumwa wa mradi wako.
Huna amani kabisa.