1. Unaanzisha mradi wako wa kuku au nguruwe shamba, kuna watu watakuja watavunja wataiba kuku au nguruwe wako.
2. Unamuajiri mfanyakazi akutunzie shamba huku unamlipa. Hafanyi kazi anazotakiwa kufanya na bado anataka kulipwa.
3. Unamuajiri mtu akusimamie kwenye biashara, anakosa uaminifu anakuibia.
N.k
Tatizo la watanzania ni wezi na wanakosa uaminifu. Wanataka wasimamiwe back to back. Wanataka walindwe usiku na mchana.
Huwa najiuliza hii ni tabia au ni dhiki? Inakuaje uajiriwe na unalipwa mshahara na bado unamibia muajiri wako? Kama mshahara ni mdogo si uache kazi ukatafute wanapolipa zaidi?
Mbona mnawakwaza wajasiriamali na wafanyabiashara? Kama huwezi kuwa muaminifu si uende kwa amani kuliko kuwa mwizi au kuchoresha ramani za wizi?
Hayo matatizo uliyoyaelezea hayako mahsusi kwa Watanzania tu.
Hata kwa wengine yapo na ndo maana kuna kanuni, sheria, na taratibu za kukabiliana nayo pale yanapotokea.
Ni matatizo ya kibinadamu. Hayana Utanzania wala Usukuma.
Cha msingi na muhimu ni jinsi gani utakabiliana nayo pindi yanapotokea.

Ni kweli lakina kwa sisi Watanzania ni almost 80 percent tunashiriki wizi
inaitwa 'kupiga'
Fundi anakujengea nyumba
unamuuliza gharama za ujenzi anakwambia milioni 4
unamlipa
halafu unamuuliza idadi ya mifuko ya cement
anakwambia 40.....
Cha ajabu anaiba mifuko 15
anakwambia 'imeisha'
ongeza imngine 15......
why asingeweka gharama hizo za mifuko 15 kwenye hela ujenzi ajenge
amalize?
Unampa dawa mfanyakazi wako shambani apige kutokana na masharti yanayotakiwa ila anauza nusu ya dawa then anachanganya hivyohivyo halafu anauza iliyobaki.
Mwisho wa siku anakuharibia mradi wako mzima.
Ni kweli lakina kwa sisi Watanzania ni almost 80 percent tunashiriki wizi
inaitwa 'kupiga'
Fundi anakujengea nyumba
unamuuliza gharama za ujenzi anakwambia milioni 4
unamlipa
halafu unamuuliza idadi ya mifuko ya cement
anakwambia 40.....
Cha ajabu anaiba mifuko 15
anakwambia 'imeisha'
ongeza imngine 15......
why asingeweka gharama hizo za mifuko 15 kwenye hela ujenzi ajenge
amalize?
Utamaduni wa 'kupiga' umetuharibu taifa zima
Enhee...unaona sasa...
Huo ni mfano mzuri sana.
Muda si mrefu ulopita nimekamilisha ujenzi.
Msimamizi mkuu alikuwa ni mama yangu pamoja na mimi mwenyewe.
Hakuna hata siku moja ambayo tulimpa fundi hela aende kununua mahitaji.
Tulikuwa tunaenda wenyewe kununua vitu [inspiration ya ule uzi wangu wa Nabaki Afrika..unakumbuka?] na 'site' tulihakikisha mmoja wetu anakuwepo nyakati zote...kuanzia asubuhi mafundi wanapofika hadi jioni wanapomaliza kazi.
Ndo maana nikasema hapo juu kuwa cha msingi na muhimu ni jinsi gani utakabiliana nayo pindi yanapotokea.
Na naweza pia kuongeza kuwa namna ambavyo utakuwa umejiandaa kuzuia utokeaji wake nayo ni muhimu sana.

Hata ulimwengu wa kwanza yapo?
Mbona wafanyakazi wengi wa baadhi ya 'start ups' wanafanya kazi kwa uaminifu hadi inakuwa kampuni kubwa?
Inamaana wafanyakazi wa kampuni kama Cargil, Monsanto au Dupont ambao wapo kwenye matawi mbalimbali duniani wanaiba kama hapa kwetu?
Kama ndio, hayo makampuni yanawezaje kuwa 'control' hao wafanyakazi wasiibe hivyo.??
Concern yangu ni hii:
Kwanini mfanyakazi/fundi asifanye kazi kwa weledi hadi asimamiwe kama mtoto?
Binafsi, nataka ifike wakati mtu unaachiwa mradi, unaufanya kuwa uaminifu na kukabidhi matokeo bila kuharibika au kuibiwa kitu.
Huko Tanzania inatakiwa kuwe na miongozo mikali zaidi.