Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Vuteni subira watanzania hasa wa tanganyika, maana hata mnara wa baberi haukujengwa kwa siku moja , na ujenzi wa kitu chochote kile huhitaji muda , hata kama utataka kujenga nyumba kwa siku moja na uwezo wa kufanya hivyo ukawa nao na oesa unayo cash mkononi, lakin lazima mafundi watakwambia vuta subira cement ikauke kwanza kwenye msingi ili tuweze kupandisha kuta imara, sasa ukiwa na haraka kwa vile una pesa za kujenga kwa siku moja ukalazimisha kujenga juu ya msingi usio kauka basi hakuna ubora katika ujenzi huo
Hivyo ni muda muafaka sasa wa kusubiri mh. Rais ayafanye yale aliyo yaahidi na nyie ni mashahid mmesha anza kuona matokeo hivyo vuten subira , mda wa kutoa lawama bado hauja fika tena bado kabisa hasa kwa hali ya nchi hii ilivyo tangu kupata uhuru hadi alipo ipokea yeye!! Hakika ana hitaji kusubiriwa badala ya kulaumiwa kwa sasa..