Watanzania Mjomba Wenu Ni Nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania Mjomba Wenu Ni Nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Keynez, Dec 31, 2009.

 1. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Kuna wanaodhani Tanzania iachane na EAC, mahusiano na nchi tajiri na hata China na India (kila mtu akiwa na mtazamo tofauti-tofauti kwa kila uhusiano), kuna wanaodhani bila uhusiano huo hatuwezi kuendelea kamwe, mtazamo wako ni nini na ni nani tumkaribishe kama 'strategic partner'? Je hata kama baadhi ya nchi hizo zina 'burden of history' na sisi tusahau na kusonga mbele tukishirikiana nao? Mtazamo wangu wa kina utakuja baadaye.

  R.I.P Simba wa Vita, Rashid Kawawa.
   
Loading...