Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,830
Mkuu appoh, hii topic yako inanipa maswali mengi sana, lakini swali linaloniumiza kichwa ni hili, ni kweli watanzania milioni nane wanamiliki hizi simu za touch!? Na kama ni kweli wanazimiliki umetoa wapi hizi statistics,!? Mbona hujatueleza hao watu milioni nane watakaokufa watakufa kwa kipindi gani, je kwa mwaka , karne au !? Unazungumzia kuwa simu za touch zote zinasense damu tu, mbona unadanganya umma, au wewe technology imekuacha nyuma, hujasikia kuwa kuna touch ambazo unaweza kuzitumia hata kama umevaa gloves!? Mfano nzuri baadhi ya Nokia lumia hata kama umevaa gloves utazitumia bila wasiwasi
Last edited by a moderator: