tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 20,876
- 27,212
Ni wazi hali tete nchini,hakuna wa kuziinua fikra za watu.Ni nani hasa wa kufanya mawazo ya watu yabadilike?Na je atatumia mechanism gani?Ki ukweli ilipofikia Tanzania sasa Ni wazi kuna umuhimu wa kubadili mfumo uliopo ili maisha yabadilike.
Injustice, poverty, slavery, ignorance - these may be cured by reform or revolution. But men do not live only by fighting evils. They live by positive goals, individual and collective, a vast variety of them, seldom predictable, at times incompatible.
Kazi kwenu,na msipofanya hivo mtaishi maisha ya ajabu mpaka kiama.
Haya ni masomo tu ya watu wanawapatia.