Ndugu yangu BAK haya mbona yanatendeka sana ukianzia huko kwa wahindi ndio usiombe bado migodini kuna mengi huko. Hebu njuze mandela nini hiyo mbona hapa umeniacha kwenye mataa.
Aisee niliisoma ile report yote kwa kweli inaumiza sana kuona hayo yakitendeka kwenye kisiwa cha amani kama tz. Ile operation imefanya uovu mwingi sana sijui majeraha yale yatatibiwa na nini tu.Angalia operesheni Tokomeza jinsi watu walivyoteswa, kutiwa vilema na wengine kuuwawa na mali za chungu nzima kuharibiwa. Haya yametokea pia kule Mtwara.
Aisee niliisoma ile report yote kwa kweli inaumiza sana kuona hayo yakitendeka kwenye kisiwa cha amani kama tz. Ile operation imefanya uovu mwingi sana sijui majeraha yale yatatibiwa na nini tu.
Imeondolewa sijui nilikua wapi sikuiona duhKuna Video iliwekwa hapa pia Ablessed lakini hapa mahali pameshaingia kirusi, hiyo video imeshaondolewa sijui hata sababu iliyofanya hiyo video iondolewe. Kisiwa cha amani hakipo tena.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/576422-sekunde-40-za-moja-ya-video-za-operesheni-tokomeza-new-post.html
Mandela ni sinema mpya iliyotoka hivi karibuni kuhusu maisha ya Mandela tangu alipoamua kujiingiza kwenye mambo ya siasa hadi anashinda katika uchaguzi wa Urais katika uchaguzi uliofanyika 1994 kama sikosei, title yake ni Long walk to freedom. Bila kupambana na mfumo dhalimu unaozidi kuota mizizi nchini udhalimu dhidi ya Watanzania walio wengi utazidi kuongezeka kwa kasi ya kutisha. Angalia operesheni Tokomeza jinsi watu walivyoteswa, kutiwa vilema na wengine kuuwawa na mali zao chungu nzima kuharibiwa. Haya yametokea pia kule Mtwara. Vyombo husika vya kuweza kupambana na hawa Wachina ili kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa vimeamua kuangalia pembeni na huku udhalimu ukizidi kupamba moto. Wanaweza kwenda pale wakakatiwa rushwa kidogo hao wanaondoka zao na udhalimu ukizidi kushamiri nchini. Watanzania kule China kamwe hawawezi kuwanyanyasa wachina kiasi hiki, kwanini sisi tukubali Watanzania wenzetu wanyanyaswe hadi wanaanza kufa kazini kutokana na unhealthy working conditions.
Mimi kwangu ni karibu kabisa na hicho kiwanda mbona nilikuwa naonaga watu kibao wanakaa pale kwenye mti wa muarubaini wakigombea kazi kwamba wanalipa vizuri eti elfu 2000 ya chakula na elf 5 ya kazi? Nani kakata ule mti wa muarubaini?