Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,154
Hiyo ndio habari ya jiji! Yaani sio Fair hata kidogo....!Iseee hii inasikitisha rasta mia 3 kwa siku sh 5000 kwa siku???
Watanzania tuzinduke
tusitegemee mgeni aje ndio atatutetea haki zetu hivi hao wafanyakazi
wakijitambua wanachofanyiwa kisha wakachukua hatua hao wachina hizo
rasta watatengeneza wao?...wabongo tumezidi ujinga haki unataka mtu
mwingine ndo akutetee...Tuamke Tuchukue Hatua..ni mm mzee wenu pangu
pakavu tia mchuzi panoge Desouza kutoka Mbuzi kalamba
Reli.:😡
Shukrani kwa huruma yako. Je wewe una mpango gani wa kuwapa hao vijana ajira mbadala?
Tatizo wahusika wakienda wataishia kupewa chajuu
hii ndiyo tanganyika unashangaa hao khali ikoje kwa wafanyakz wa makampuni ya ulinz ucku kucha masaa zaidi ya 12 150000 per mwz
Hapo ndipo penye utata manake wako radhi kumpa mhusika hata gari mpya. Ama kweli rushwa ni adui wa hakiTatizo wahusika wakienda wataishia kupewa chajuu
Hahahahahahahahahahaha duh kuiwasha tena hapana haifai. Yaani umeongea kwa machungu kweli nadhani unatamani kuwawasha makofi hawa .Watumwa ndani ya Tanzania....Chezeya Serikali dhalimu weye!!!! Sehemu kama hii ni kuiwasha moto tu ili kukomesha udhalimu unaofanywa na haya machina dhidi ya Watanzania wenzetu.
Hahahahahahahahahahaha duh kuiwasha tena hapana haifai. Yaani umeongea kwa machungu kweli nadhani unatamani kuwawasha makofi hawa .
Ndugu yangu BAK haya mbona yanatendeka sana ukianzia huko kwa wahindi ndio usiombe bado migodini kuna mengi huko. Hebu njuze mandela nini hiyo mbona hapa umeniacha kwenye mataa.Tafuta nafasi Ablessed ukaione Mandela ila andaa handkerchiefs nyingi za kufutia machozi. Inaudhi sana kunyanyaswa nchini mwenu kiasi hiki