sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Mimi mfatiliajiwa chaneel imanuel ira jumapili, jamani leo wabongo wamejaa kanisani mpak raha, nasubiri mzee aje aanze kuwambea nione watakavyo hanza kudodonka, na kutaja, majini waliyopereka uko, leo ntachekajie jamani kama mnafatilia stay tuned muone.