Watanzania kuwapambania inahitaji moyo sana

Watanzania kuwapambania inahitaji moyo sana

Sales man

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2025
Posts
571
Reaction score
843
Issue ya Polepole imeonesha wazi kuwa kumpambania mbongo inahitaji moyo.

Nilitegemea watu wawe barabarani wakishinikiza kuachiwa Polepole.
 
Ujue wewe ni mpumbavu, nani kukukataza kuingia barabarani? Eti ulitegemea, are you normal?
 
Issue ya polepole imeonesha wazi kuwa kumpambania mbongo inahitj moyo.


Nilitegemea watu wawe barabarani wakishinikiza kuachiwa pole pole
Sasa hivi upo wapi tuanze mimi na wewe kuingia barabarani muda huu tutachagua barabara ya kuanzia, haya upo wapi?
 
Back
Top Bottom