Watanzania hawapendi kuthubutu

Watanzania hawapendi kuthubutu

mwanakosa

New Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Imekuwa ni jambo la kawaida kila kitu kulaumu serikali hasa kwa vijana, watu wazima , wakina mama, wazee na watu wa kada mbalimbali mfano, walimu ,madaktari na wengine kutaja wachache.Pia serikali nayo inalalamika kuanzia uongozi wa juu hadi ngazi ya kijiji na seikali ya mtaa.Ushauri anza na kidogo ulichonacho(wazo) harafu wadau watajitokeza kukupa tafu kama Rais wetu anavyopata tafu kwa ajili yetu kutoka nje ya nchi baada ya kumuona dhamira yake ya kweli ya kusaidia nchi. TANZANIA KWANZA VYAMA BAADAE!!!
 
Wamachinga,mama lishe,n.k wangapi wameanza na kidogo walicho nacho na wameishia kupigwa na kudhalilishwa na mgambo,tra,etc?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom