Watanzania hatujui wengi tunachokihitaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania hatujui wengi tunachokihitaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by othorong'ong'o, Feb 23, 2011.

 1. o

  othorong'ong'o Senior Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  viongozi wa dini wanapoombea mvua ili bwawa la mtera lijae tupate umeme wanadhani kukosekana kwa umeme tatizo ni mvua?,mbona bwawa likijaa utasikia tumezima mashine/turbines sababu maji yamejaa na mashine yatapasuka.,mi nadhani tujaribu ku-link matatizo yetu na uongozi mbovu wa nchi yetu
   
 2. n

  nyantella JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Othorong'ng'o
  sometimes tunaweza wasema saana viongozi wetu kwamba ni tatizo lakini hivi kweli wao wanafanya maamuzi bila wataalam? maana kuna wakati utakuta waziri ni mchumi lakini anaongoza wizara ya nishati au wizara ya afya nk. wajua uwaziri na hata urais ni political posts lazima wanakuwa na jopo la wataalam katika eneo husika. hivyo kama unaona waziri fulani ha perform, then lazima either hana the right people behind him or her au wataalam wake kwa sababu moja au nyingine wana m-subbotage. so tukubali kwamba bado wasomi hatujaisaidia nchi yetu period! na hii inaonekana kwenye mikataba mbali mbali ambayo tumeingia either kwa sababu ya skills gap katika negotiation kwa wataalam wetu hivyo jamaa wanatake advantage kutulalia au just ufisadi at that level.

  kwa upande mwingine sisi wa TZ we talk too much kazi hatufanyi at the same time tunataka kuishi kama marekani! it took them 200 hard working years to achieve what they have now. Jirani zetu wakenya they are very hardworking pamoja na kwamba wamekua na matatizo ya kisiasa but when it comes to work they are serious! sisi tunakalia maandamano tu kila kukicha na kutukanana. tutabaki hivi hivi hata nani awe rais wa nchi hii tutapata cha kumtukania tu ili mradi tusifanye kazi!!!
   
Loading...