watanzania watatu wanaoshikiliwa hapa africa kusini wanatafutwa kwa udi na uvumba na serikali ya
rwanda ili kuwauwa kupoteza ushahidi,
watanzania hao walitumwa na mfanyabiashara maarufu hapa johannesburg kumwua generali wa kirwanda
aliyekimbia rwanda na kupewa hifadhi hapa,
tunafatilia kwa makini
taratibu jamani kesi ndo tumesikia imeanza leo,hii tabia ya kuchukua sheria mkononi tuachane nayo
Kama wamefanya kitendo hicho hata kama kesi imeanza usiku huu ni vema tu wakajisalimisha na waka chinjwa. Tabia mbaya za jinsi hiyo hazina kusubiri muda mrefu..!!
Taarifa hii haijakaa sawa, unasema walitumwa na mfanyabiasha? Serikali ya rwanda kwanini unasema inataka kufuta ushaidi? Mfanya biashara huyo anauhusiano gani na serikali ya rwanda? Serikali ya south africa imechukua jukumu ga kuulinda ushaidi huo? Na je serikali ya International Super star Mkweree inakauli yoyote?
Nadhani haya ndo mamba ya msingi ya kufatilia!
Na nyie ni kina nani?tunafatilia leo kesi imetangazwa kwa sababu ushahidi ulishakamilka,tutawaletea taarifa rasmi
taratibu jamani kesi ndo tumesikia imeanza leo,hii tabia ya kuchukua sheria mkononi tuachane nayo