Tajirimsomi JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 4,824 Reaction score 5,612 Jun 7, 2017 #1 Hayo ni magali ya kuchukulia matangazo ya moja kwa moja mfano mpira nk ya makampuni mbalimbali
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,575 Reaction score 18,003 Jun 7, 2017 #2 Tunaziita OB Van.. Hahahaa..Wazee wa mubashara wametishaaaa...
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Jun 7, 2017 #3 Naona magari matatu yana nembo/jina, isipokuwa moja, je hilo lisilo na nembo/jina ndio tu assume tu kuwa ni la ITV!!? Sidhani hiyo ipo sawa
Naona magari matatu yana nembo/jina, isipokuwa moja, je hilo lisilo na nembo/jina ndio tu assume tu kuwa ni la ITV!!? Sidhani hiyo ipo sawa
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,043 Reaction score 22,598 Jun 7, 2017 #4 labda sportpesa wamewakurupusha hawakujiandaa..
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,728 Reaction score 4,181 Jun 7, 2017 #5 Chapa Nalo Jr said: Naona magari matatu yana nembo/jina, isipokuwa moja, je hilo lisilo na nembo/jina ndio tu assume tu kuwa ni la ITV!!? Sidhani hiyo ipo sawa Click to expand... Nahisi aliyepost ni tbccm
Chapa Nalo Jr said: Naona magari matatu yana nembo/jina, isipokuwa moja, je hilo lisilo na nembo/jina ndio tu assume tu kuwa ni la ITV!!? Sidhani hiyo ipo sawa Click to expand... Nahisi aliyepost ni tbccm
okaoni JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 1,471 Reaction score 1,308 Jun 7, 2017 #6 Dah!! hawa wajamaa wa MUBASHARA sport pesa wanachekesha kweli kweli, wachezaji wanaonekana wadogo na weusi tii.......kiboko na kichekesho ni pale kwenye RE PLAY transition ni za kizamani kweli kweli zile za kufungua ukurasa
Dah!! hawa wajamaa wa MUBASHARA sport pesa wanachekesha kweli kweli, wachezaji wanaonekana wadogo na weusi tii.......kiboko na kichekesho ni pale kwenye RE PLAY transition ni za kizamani kweli kweli zile za kufungua ukurasa
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,378 Jun 7, 2017 #7 doh..mubasharwaa