Watanzania amkeni, CCM inataka kujadili matukio na siyo record zao

kweli kabisa.kuna mambo fulani tanzania hayajakaa freshi lakini watanzania wametulia tu.gonjwa la TIBIccm ambalo mpaka leo halijatokomezwa na limewafanya watanzania kuchoka kukemea uonevu fulani na serikali!,halafu pia watanzania wanatii AMRI za watawala bila KUSHURUTIWA !!. Halafu tanzania ni nchi iliyo rithi UTULIVU na njimana tanzania inatulia!!
 
Kwa nini sisi watz tunapenda kuckia matukio tu na sio kufanya dialoges mara mwanahalisi lafungiwa,mara mwangosi kauwawa,mara sumaye,kigwangala,bashe,mkono watemwa.cjui what is next?
Next is: Dr. Nagu ambwaga Sumaye NEC, then Rais wa Malawi akataa mazungumzo kuhusu mgogoro wa mpaka, kisha Sumaye kulipua bomu leo Jumapili, halafu JK ziarani Marekani, Canada, baadaye Kambi ya Lowassa yapata pigo, kisha Ripoti ya Mwangosa yaanika uovu, halafu IGP akataa kuongezewa muda, lakini kabla ya hayo CDM yabwagwa Umeya Mwanza, Zitto atangaza kuwania urais, Jussa ajivua CUF, V4C yatikisa Arusha, Mishahara ya watumishi yatumika kwenye chaguzi za CCM, miezi michache iliyopita waliotorosha twiga wapeta uarabuni, hivi karibuni Mbunge wa CCM akamatwa na TAKUKURU, Jerry Silaa akamatwa na TAKUKURU Iringa, etc etc etc......... Poor Tanzanians who call themselves GT, tutaishia ku-post na kujaza threads tu humu hadi mwisho wa dunia, maneno mengi matendo sifuri! Chezea akili ndogo wewe? Kazi ni kuongelea watu na matukio na siyo kuchukua hatua. Huku wenzao wakichukua silaha na kuingia mitaani kushinikiza tawala zilizopo madarakani ziondoke iwe kwa amani au kwa gharama ya tone la damu, Watz wao huchukua laptops, simu au computers zao na ku-log in Jamii Forums na ku-post, kisha wana-log out wakitegemea hiyo ndio njia watawala watawaelewa zaidi na kufanya mabadiliko!
 
Yaan sio magazeti,radio,tv,blogs wala media yoyote wote ni wahanga
Huwezi kuwa na habari bila vichwa vya habari. Kwani tatizo liko wapi? Mgependa mtu aanze kubwabwaja kabla ya kueleza anachotaka kubwabwaja? Kwenye biashara ya habari ni vichwa ndivyo vinavyouza habari. Watu wasio na muda wa kukaa na kusoma magazeti kwa kina huwa wanaangali vichwa vya habari na kusoma mistari michache ya habari na kupata maudhui ya kilichoandikwa basi. Huyo anayelalamika naye lalamiko lake limekaa hivyo hivyo, hajafafanua nini anacholalamikia hasa na nini angetaka kifanyike.
 
Hii nchi inabidi ipinduliwe tu ndipo tutafunguka macho lakini hivi hivi, wapi?

huyo SUMAE asituchanganye nae yy alivyo ku w.MKUU. watu wali mlalamiki ju ya lushwa kwenyecha yy akasema hiyo sio RUSHWA NI TAKRIMA sasa analia nini na wenzie wame mzidi kwa TAKRIMA ??? akae pembeni akubari matikeo kwani alikua na uwezo wakati wake kukomesha hayo sasa yamemkuta analia nini hapa??? aache uongo wasiasa..vyama viko vingi TZ...
 
Full matukio, full porojo, full kujisifia "U-Great Thinker," full mkumbo, full kuridhika, full kuchimba biti wanasiasa kwenye keyboard za kompyuta. Ni maneno tu. Hakuna jipya.

Yanga kama Obama!!
 
.........Watz wao huchukua laptops, simu au computers zao na ku-log in Jamii Forums na ku-post, kisha wana-log out wakitegemea hiyo ndio njia watawala watawaelewa zaidi na kufanya mabadiliko!

Very very simple:
  1. Log in
  2. Chimba biti mtu
  3. Log out
  4. Repeat 1-3
 
hakika kama tuwe na kumbukumbu...inahitajika tukio moja lilimchoma mlalahoi waadhibiwe...lakini tunasahau mno madhila...barabara zinajengwa,daraja la kigamboni linajengwa-usishangae wakaandaa gumzo hapo 2015! fananisha na mrad wa gesi mtwara(British Gas,BS) ambao umegharimu karibia trilioni 15! pale kuna gesi ya matumizi ya zaidi ya miaka 100! bt mikopo vyuoni inasua sua,wajawazito ,watoto wanafariki kila uchao...ani tuna watanzania walio wengi wana umasikini wa fikra...asa unagoma mwezi chuon afu unafanya mtihani unafaulu...migomo mwaka pili...mpka uunamaliza...huyo ni msomi. all scenarios have been calculated..hakuna cha bahati mbaya happo...
 
Mwenzetu The Greatest Thinker....unafanya nini kuleta maendeleo hapa nchini? Je, umeridhika na utawala wa mkuu wetu au wewe ni Ridhiwani hutaki baba yako atajwe hovyo hovyo?

Taratibu mjomba. Kwanza mimi si Great Thinker, ungesema Dr Albert Einstein sawa. Pili, Jakaya ni mtu mmoja tu katika wanasiasa wengi hivyo si kila ikisemwa siasa basi wazo ni kwa Rais au Urais.... Tatu, hata kama Kikwete angekuwa baba yangu (Si baba yangu) mikwara yako (yenu) ya kwenye keyboard inasaidia nini?

Mnaojiita ma-Great Thinker humu mnaishia kumponda Issa Michuzi, Kibonde, Facebook kana kwamba........... aaah wapi, haya ni maneno tu. Kompyuta yako ina processor ambayo watu wa Intel ama Motorola ama AMD walikaa chini wakatengeneza.... hawakuishia kupiga stori tu (especially kwenye mitandao ya jamii).

Halafu siku hizi eti mikwara ni "Subiri 2015" as if mwaka huo jua litashuka kimiujiza... 2015 ni namba tu... Subirini zengwe la udini maana mmeifanya dini kuwa muhimu kuliko Mungu mwenyewe.

Tanzania ni masikini..... sawa.
Waigizaji ni vilaza........ sawa.
Yanga haina chochote.. sawa.
Hemed anaringa sana.... sawa.
Titanic ni noma............ sawa.
Waafrika ni masikini....... sawa.
Weusi unatokana melanin nyingi katika ngozi..... sawa.
China ni noma hata Marekani wanawaogopa..... sawa.
Iran ni noma, Israel watakoma.... sawa.
Malawi wanatuchezea hawa..... sawa.
Yule jamaa ni gamba tu.... sawa.

KISHA NINI?
 
Back
Top Bottom