Watanzania akamatwe nani ndiyo Mjitambuwe?

Watanzania akamatwe nani ndiyo Mjitambuwe?

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,943
Watanzania ni watu wagumu sana kuwaelewa!
Ni watu wanafiki kupindukia katika bara la Afrika huenda tunaongoza!
Watu wamedondoshwa!
Tukaishia kukusanya madumu ya machozi!

Meli zinatengenezwa kifisadi Mombasa!,tukaishia kwenye mijadala Club House na kahawani.

Wanauza Bandari ambayo ndio kitovu cha uchumi wetu kijiografia!
Tunacheka na wapumbavu ma chawa kina Majaku na vitenge!

Wanakamata watetezi wetu maarufu, sisi tuko busy na kubeti Simba na Yanga!

Nani katuroga?
Lini tutajitambua watanzania?
 
Watanzania sio mazwazwa kuwaambia bandari 24 mpaka kigoma na nyasa zimeuzwa.

Tafuteni sera nyingine tuwasikilize sio kuhamasisha upuuzi ili tuandamane na siasa zisizo na kichwa wala miguu. Siasa zinazotafuta kupandikiza chuki kati yetu. Gari lenu mmelipiga moto ili mzue taharuki tumeshtuka.

Barua ya kuzuiwa kufanya mkutano lisu aliipata lakini anatafta tena kuhurumiwa kisa anasema kweli eti mzalendo. Andamaneni wenyew asee sisi sio mambwiga
 
Watanzania ni watu wagumu sana kuwaelewa!
Ni watu wanafiki kupindukia katika bara la Afrika huenda tunaongoza!
Watu wamedondoshwa!
Tukaishia kukusanya madumu ya machozi!

Meli zinatengenezwa kifisadi Mombasa!,tukaishia kwenye mijadala Club House na kahawani.

Wanauza Bandari ambayo ndio kitovu cha uchumi wetu kijiografia!
Tunacheka na wapumbavu ma chawa kina Majaku na vitenge!

Wanakamata watetezi wetu maarufu, sisi tuko busy na kubeti Simba na Yanga!

Nani katuroga?
Lini tutajitambua watanzania?
Sema mtetezi wako mimi namuona mchochezi na mvunja amani
 
Are we real human beings or we just fake humans?

The above question will help you to understand something.
 
Watanzania ni watu wagumu sana kuwaelewa!
Ni watu wanafiki kupindukia katika bara la Afrika huenda tunaongoza!
Watu wamedondoshwa!
Tukaishia kukusanya madumu ya machozi!

Meli zinatengenezwa kifisadi Mombasa!,tukaishia kwenye mijadala Club House na kahawani.

Wanauza Bandari ambayo ndio kitovu cha uchumi wetu kijiografia!
Tunacheka na wapumbavu ma chawa kina Majaku na vitenge!

Wanakamata watetezi wetu maarufu, sisi tuko busy na kubeti Simba na Yanga!

Nani katuroga?
Lini tutajitambua watanzania?
Na watawala majuha wanatumia upumbavu wetu wananchi kuitapanya nchi, mala tu baada yakuzinduka tutajikuta watumwa kwenye nchi yetu.
 
Tatizo sio Wananchi, tatizo lipo kwa hao wanaotaka waaminiwe

kuna nyakati hapa walikuwa wananunuliwa kuunga mkono juhudi kama mishkaki ya kivukoni

leo unaweka matumaini kwa huyu kesho unaamka unakuta wale waliokufundisha na kukushawishi umuamini fulani sasa hivi wanakufundisha tena kuamini kama Jamaa ni Mtu mbaya hafai.

Rais akiwa madarakani wanampinga kwa kila hali lakini akiondoka madarakani wanaanza kumtumia kama reference ya utendaji bora

wakati wa Kikwete walimtumia Mkapa kama reference ya Rais bora, wakati wa JPM wakatupa reference ya utawala bora wa Jk huku wakimponda JPM, sasa hivi wanazunguka kumsifia JPM…nani mwenye akili timamu awekeze kwny magenge haya
 
Back
Top Bottom