Watanzania 12 waliovuma 2012...!

Watanzania 12 waliovuma 2012...!

Huo siyo utafiti ni mawazo yako binafsi, haiwezekani Dr. Slaa anaye wanyima usingizi na kumtwisha lundo la tuhuma hadi kumwita majina ya kejeli asing'ae kwenye vyombo vya habari. Kama ni utafiti umekaa kimagamba zaidi,subiri majibu 2015.
 
Back
Top Bottom