Watanyoooka tu

JPM katika ubora wake mjini Mbarali
Kwa sasa ndo naamini kuwa picha za mitandaoni sio kabisa hata kwenye tv napo wanadanganya,ukweli haikuwa hivi na nilikuwepo eneo hilo kumsikiliza Magufulu.Huu utaalam wa kuongeza watu katika eneo sijui inafanyika vip ningependa nijifunze pia.
 
Is all about Video and Photo editing Software. Computer systems at Work.
 
JPM katika ubora wake mjini Mbarali

Hata mie mwenye elimu ya KATA naona hapo kuna editing ya kutosha kabisa.Pole mwaka huu naona simu zote hampokei,basi SMS inakuja,mmetupa number subirini tutawapigia soon
 
Kwa sasa ndo naamini kuwa picha za mitandaoni sio kabisa hata kwenye tv napo wanadanganya,ukweli haikuwa hivi na nilikuwepo eneo hilo kumsikiliza Magufulu.Huu utaalam wa kuongeza watu katika eneo sijui inafanyika vip ningependa nijifunze pia.

Sababu wanapenda kujidanganya,ngoja waendelee.
 
Kwa sasa ndo naamini kuwa picha za mitandaoni sio kabisa hata kwenye tv napo wanadanganya,ukweli haikuwa hivi na nilikuwepo eneo hilo kumsikiliza Magufulu.Huu utaalam wa kuongeza watu katika eneo sijui inafanyika vip ningependa nijifunze pia.

Mkuu Baelezee Baelewe Mijitu Ya Ccm Iko Inajidanganyaga
 
Waasısı wa hıi dhana ni UKAWA.Nakumbuka sku ya uzinduzi wa kampenı zao nilıkuwa pale Jangwani,walıvyokuwa wakıongea ulofa ulıjitanabaisha.Kiwanja kilienea nusu na nusu ilikuwa wazi tu lakn,utasikia watu wengne waleeee,maghorafanı,wengne unawaona hukooöo,wamekosa nafası.Nılicheka sana,nikasema yanı hawa concern yao n watu kujuaa bıla hata kujipma na wengne.Infact mkutano wa CCM Jangwanı ulikuwa mkubwa kulıko wa UKAWA.
 
wasanii ,diamond yupo duh hata mi ningeenda kujaza nyomi ,hivo usishangae kabisa
 
Ni wakati wa mabadiliko....

Lowasa kwa mabadiliko
 
Wamesombwa kwa style hii LOL!!!
 
Attachments

  • 1443418198908.jpg
    68.5 KB · Views: 237
Kwa sasa ndo naamini kuwa picha za mitandaoni sio kabisa hata kwenye tv napo wanadanganya,ukweli haikuwa hivi na nilikuwepo eneo hilo kumsikiliza Magufulu.Huu utaalam wa kuongeza watu katika eneo sijui inafanyika vip ningependa nijifunze pia.

wabongo bana...! za lowassa za ukweli za magufuli za kutengeneza! kwani ni kazi sana kupata wasio na kazi kuja mkutanoni??!!
 
Hata mie mwenye elimu ya KATA naona hapo kuna editing ya kutosha kabisa.Pole mwaka huu naona simu zote hampokei,basi SMS inakuja,mmetupa number subirini tutawapigia soon

Hebu nipe hint moja ya editing hapo.
 
Push up veeepe
 
Attachments

  • 1443420470272.jpg
    35.4 KB · Views: 119
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…