yeye msu.----!we ni kabila gani kwanza?tuanzie hapo maanake hapa naona kama tunafuta kukwazana hasa ukizingatia hili si jukwaa la matani.
mimi Mzaramo. wasukuma na wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.we ni kabila gani kwanza?tuanzie hapo maanake hapa naona kama tunafuta kukwazana hasa ukizingatia hili si jukwaa la matani.
mimi Mzaramo. wasukuma na wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.
mimi Mzaramo. wasukuma na
wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja
mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.
mimi Mzaramo. wasukuma na wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.
mimi Mzaramo. wasukuma na wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.
mimi Mzaramo. wasukuma na wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.
sijazaliwa nikinuka ng'ombe na kuongea lugha kama naporomosha mawe mimi. lugha yangu imenyooka sio kama ya masanja.
haaa Nshomire acha masifa, wahaya ni moja wapo wa watu ambao bila wao hapa tz hakiwezi kuharibika kitu. kwanza siku hizi hamsomi kama zamani, mmezidiwa hata na wazaramu, isipokuwa nawasifia kwa promo kujitangaza ndio maana mnaonekana kama mko juu kumbe sifuri. kama hauamini nisemayo, tembelea kile kijiji cha KATERERO na uhudhurie lile gulio la katerero utakutana na wahaya wanaohitaji msaada kwasababu maji mnayo lakini hamuogi.iwe kumbe ndo mana unagamba upumbavu.eti wahaya washamba......unadhani idd amin angeitaka dar nyerere angepigana? bila wahaya wewe huli wala huvai..ogu mwana guligufwera