Watani na bei ya Okwi

sisi ni maneno tu na sio ajabu kukuta kiongozi wa vijana Yanga Makere (na Simba), au Mzee Akilimali akiongelea Million 850,000,000/- utadhani aliwahi hata kuziona kwa macho!
Hivi hawa jamaa wanajua vigezo vinavyotumika ku-value mchezaji!!!!?


hahahah umenikumbusha wale wazee wayanga waliitaka timu na kudai wana milioni 750 duu, baadaye wanaulizwa hiyo pesa ipo wapi wanabiki wanashangaa tuu!
 
 
Anslem: bilion 2 hiyo ndiyo bei ambayo Okwi anaweza kuuzwa kwa timu itakayo muhitaji. we timu yako kama haina kiasi hicho basi, hajalazimishwa mtu na wala Simba haijashindwa kumuhudumia, anayetaka vya bei ndogo zama Villa squad na Moro united ni kujichukulia kwa laki laki tu.
 

Haya subirini hapohapo Swanswea wataleta hizo billion 2 kuja kumsajili
 
 
 
Kiongozi wao si mbunge wewe unafikri anawaza nini zaidi ya pesa.Anakwambia kama mzigo mpe yeye tehe tehe.Analipizia gharama za kulala reception
 
mi nadhani hapo hamjaelewa logic ya kutaja bei kubwa ya mchezaji.nataka nkupe mfano mmoja tu wa club ya FC porto ya ureno imetangaza kua anayemhitaji mshambuliaji wake Mbrazil Hulk basi atoe pound 100m kitu ambacho unaona kabisa ni kwa ajili ya kumfanya anayemhitaji ashindwe.na hii n kutokana na ukweli kwamba wenyewe bado wanamhitaji.ila hii bei haina usawa na thaman ya mchezaji husika.halikadhika na klabu ya simba kwa Okwi ndivyo ilivyo,hawako katka nia thabiti ya kumuuza kwa sasa,sababu wanamhitaji. so km itatokea mtu kutaka kumnunua bei yake ndio hyo 2bn.hii ni sera ya waingereza wanayoiita protectionism policy.unataja bei ya juu kumfanya mtu asiifikie.
 
 
Unasita nini. Ni mpumbavu na yupo addicted na Simba.Goli tano zinauma wacha mchezo.Club kama
alivyosema maruhumu Tambwe Leya miaka 20 iliyopita ni kama meli kubwa isiyo na nahodha
.Haoni matatizo ya klabu yake.Kazi Simba Simba.Mchezaji wa Simba nani ana haki ya kutaja bei???
 
Okwiii hauzwi ule ulikua ufundi wa maneno ambao only the few shall know its proto meaning.
 
Okwiii hauzwi ule ulikua ufundi wa maneno ambao only the few shall know its proto meaning.

Proto meaning kitu gani,unatangaza kitu Publically halafu unataka Jamii ihangaike na tafsiri za ndani,haya siasa zetu za soka la Simba na Yanga tunazijua wenyewe ni rahisi kugundua kuwa ile ilikuwa ni indirect way ya kuwatangazia Yanga kuwa Okwi hauzwi lkn vipi yule wakala wa nje aliyekuwa anamnyemelea,baada ya kusikia utumbo ule unafikiria ataendelea kumfatilia? hapo ndo mnapoharibu future ya mchezaji,mimi nasema jinsi mpira wa siku hizi ulivyo ni biashara Simba wangejaribu kuwa realistic wangeweza kunufaika sana na Okwi huko mbele ya safari,lkn kwa hizi technique za kusomea shule za kata hatatoka pale na hakuna kitu atakachonufaika nacho na ikitokea akafa ndo kabisa hata rambirambi zitakazochangwa na wadau hawatafikishiwa ndugu zake...chezea Simba wewe.
 

Ndo maana nikasema taking into consideration maneno hayalipiwi kodi,alikuwa sahihi kabisa
 
Source: Magazeti mbalimbali ya leo: Bingwa,Mseto,Nipashe etc ni kauli iliyotolewa na Club kupitia Mseamaji wake Bwana Ezekiel Kamwaga
Acha kukurupuka kwa tulio msikiliza siku Kimwaga akiongea na vyombo vya habari aliimanisha hawako tayari mshambuliaji huyo asjiriwe na yanga kwasababu..alisema bei ya mchezaji huyo ni bilioni 2 na timu hiyo iwe na uongozi pia iwe na uhakika wa kuwalipa wachezaji timu ambayo nia kosa sifa hizo ni Yanga....Haina uongozi, haina uwezo wa kulipa wachezaji wake.....
 
Zile 6-0 hamjalipa bado tukawaongeza zingine 5-0 na bado kukawa na zile nne nne za kina Serengo na Mada, so mkifikiria hayo marundo ya magoli huwa mnaweweseka sana ndo mnatafuta jinsi ya kujituliza, tufungeni nyie ili muwe na cha kusema.
Kila kukicha vichwa vya habari vimeja yanga,na usajili wa kufuru kumbe hamna 2bil.za kumnunua Okwi! Mchezaji mnaemuona live akikamua! Subirini mletewe picha za wachezaji ili mchague anayependeza ndo msajili.
 

That applies to all,ingekuwa ni kwa Yanga tu angesema bayana kuwa hizo ni terms and conditions zinazo'apply kwa Yanga zikitaka kumnunua Okwi,lkn kwa kuielezea the way alivyoielezea it applies to all na hiyo ndo point yangu
 
Mna respond to a mosquito bite with a hammer.Timu anayoishabikia haina hata viongozi.Anselm toa boriti kwenye jicho lako
:der:kabla ya kuona ubanzi kwenye jicho la mwenzako .Unazungumzia usafi na mavi tele matakoni.Jioshe kwanza.Wachana na
SIMBA.
 

Uliona wapi mchezaji asiyekuwa hata na namba ya kudumu kwenye kikosi chake cha Taifa akauzwa kwa bei hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…