Wanajifunza kujiamini hadi kujiogopa, kuwa miss Independent....Kutoogopa kuachana...kama ndoa zipo mtu anaweza kuolewa hata kumi...haina kung'ang'aniana kama roho...
Na maneno ya shombo yoteee....!
Inawezekana ikawa ni mizengwe, kuna wasanii kadhaa ambao hawapewi promo na mainstream media lakini Times wanang'aa. Kuna thread hapainahusu kamgogoro kadogo kati ya media fulani ambazo hazikutajwa na Prodyuza wa Studio za Irie ambako ndiko umetengenezwa wimbo wa Vitali Maembe, Vuma.