mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,291
- 799
Hakamatiki wakati hata kukimbia hawezi we jamaa wewe,hao wajumbe waliohudhuria kote huko hatufiki wanakula kichwa dk za mwanzo kabisa kabla ya kufika huko.* LOWASSA HAKAMATIKI
Ikiwa mchakato wa kuchukua fomu unaedelea, ebu tutumie dakika chache kutafakari nguvu ya kila mgombea... Nguvu ya mgombea au mgombea mtarajiwa tunaweza kuijua kutokana na jinsi anavyoungwa mkono na wananchi, wanachama, wajumbe wa vikao mbalimbali, na viongozi kwa ujumla wao...
Mpaka sasa ni takriban wagombea 9 washatangaza nia, ebu sasa tuangalie idadi ya viongozi/wajumbe waliowasindikiza siku wanatangaza nia (Hasa Wenyeviti wa CCM Mikoa, WaNec, wabunge na wajumbe wa mkutano mkuu)....
1. Edward Lowassa.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30
. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's..
. Wabunge wa JMT~168/357
2. Fredrick Sumaye.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa Halmashauri kuu (NEC)~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~2
. Wabunge~0
3. Prof. Mack Mwandosya.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~4
. Wabunge~2
4. Mwigullu Nchemba.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~4
5. Stephene Wassira.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~3
6. Dr. Titus Kamani.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~1
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~1
7. Prof. Muhongo... Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~1
8. Makongoro Nyerere.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~1
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~2
9. Balozi Karume.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~0
Mytake:... Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.... Hii ndiyo safari ya Matumaini.........
Nakubaliana na wewe hivi mtu umelipiwa tiketi na pesa ya hotel pamoja na chakula kwanini usiende kutalii? Chamlevu huliwa na mgema.Hapo umeainisha uwezo wa wagombea katika kununua watu na sio kukubalika. ni kweli lohasa ni balaa mpaka kamweka kati yule mwakilishi wa waganga wa jadi kwenye BMLK.
ukweli utabaki kweli! Lowasa ana nguvu sana,nawambieni atakuwa rais japo anapigwa vita sana
nasema tena enl atakuwa rais!,; hii ndo safari ya matumaini
Uhudhuriaji wa mambo kama haya unategemea sana burudani na gharama za kuhudhuruia na malipo yake. Ukiambia niende Arusha bure kumtazama Diamond stejini na kuishi hotelini bure kwa siku tatu ikiwa ni pamoja na kutembelea mbuga za wanyama sitaacha kwenda wakati najua siri yangu mbele ya boksi la kura.
Hapo umeainisha uwezo wa wagombea katika kununua watu na sio kukubalika. ni kweli lohasa ni balaa mpaka kamweka kati yule mwakilishi wa waganga wa jadi kwenye BMLK.
Nakubaliana na wewe hivi mtu umelipiwa tiketi na pesa ya hotel pamoja na chakula kwanini usiende kutalii? Chamlevu huliwa na mgema.
Hatumtaki rais yeyote kutoka ccm maana wamekuwa kama kinyonga hawana msimamo wameweka chama mbele tanzania nyuma
We suburi tu woote haoni wanafiki tu kww loh hasa
Tatizo hamwataki kwenye mitandao tuu nendeni kwenye box la kura.Hatumtaki rais yeyote kutoka ccm maana wamekuwa kama kinyonga hawana msimamo wameweka chama mbele tanzania nyuma
Hao wamasai wa Monduli na Loliondo wote wale asingewashonea nguo na kuwasafirisha, kuwalisha ingawa walilala uwanjani kwa sababu hotel zote zilijaa, wangehudhuria?
Hizo coster 200 alizokodisha za kusomba watu kutoka kilimanjaro, watu hao wangekwenda?
Hayo mabasu aliyokodisha kutoka Tanzania nzima, akiwalisha wote pamoja na kuwapa posho ya kujikumu waliofika wangekwenda?
Asingekuwa amefunga mahoteli na nyumba za wageni zote Arusha mjini na pembezoni, kwamba zimeliipiwa kwa ajili ya wageni wa Lowasa, wale watu wangekwenda?
Angetangazia Monduli nyumbani kwake bila kutumia hizo fedha alizotumia kununua na kugharimikia washangiliaji, watu wangapi wangekwenda?
Masuala mengine hayasomewi shuleni.
Hakamatiki wakati hata kukimbia hawezi we jamaa wewe,hao wajumbe waliohudhuria kote huko hatufiki wanakula kichwa dk za mwanzo kabisa kabla ya kufika huko.