PostGE2025 Watanganyika msipojikomboa sasa, basi tena

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,215
Reaction score
48,767
Hapa sizungumzii mambo ya chama, nazungumzia icon muhimu ya Tanganyika ambayo Nyerere aliitupa baharini.

Kuna baraka watu wanashindwa kuzipata kwakuwa Mungu akituma anakuta hakuna adrees ya kueleweka hivyo zinakuwa suspended.

Kusubiri CNN au BBC wakukomboe ni mstumizi mabaya ya akili.

2015 ilikuwa penalty ya wazi kwa upinzani kuingia Ikulu na sasa 2025-2026 kuna penalty ya wazi kwa Watanganyika kupata TAIFA lao. Mkikosa hii penalt msahau kabisa neno Tanganyika
 
Uko pamoja na Samia? Maana yake unaunga mkono mauaji aliyofanya kwa vijana wetu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…