Watanganyika mkitaka msitake MAMA MITANO TENA

Watanganyika mkitaka msitake MAMA MITANO TENA

Pumbavu ni wewe mwanaharamu usiyemjua Baba yako mzazi maana mimba ilitungwa kwenye mikesha ya mwenge.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hhhhhhh mkesha WA mwenge unaenda ww mshenzi Mimi na mikesha ya mwenge wapi na wapi hizo. Ndio zinakua skuu zenu kumbe mnajja mnapotiana mimba nakuambia tena we mshenz na kizaz chako
 
Huyu mama ndani ya mwaka huu huu nasema mwaka huu...
 
Toka mama aingie Madarakani kumekuwa na ukosowaji mwingi na Zaid toka Kwa CCM BARA
Tunawaambia mkitaka msitake MITANO tena Kwa Mama sababu

# Mama kazuia TRA kufungia Maduka wanao wadai Kodi

# Mama kaondoa watekaji Kwa jina maarufu wasiojilikana

#Mama kafungua ajira

#Mama karejesha mzunguko WA FEDHA

#Mama kaondoa dhuluma waliokua wakifanyiwa Wanafunz waliokopa HESLEB

#Mama Kazuia wafanya Biashara kukwapuliwa fadha zao toka kwenye Akaaunt zao bila ridhaa

#Mama karejesha mahusiano mema na majirani

#Mama kaondoa ujinga WA kutibu COVID-19 Kwa mitishamba na waganga wajadi na badala yake karejesha science ya afya ichukue mkondo wake

#Mama kaondoa kauli za dharau zidi ya wananch mfn Ntaanza na mama zenu
Mimi cjaleta tetemeko
Msipo ichagua CCM sileti maendeleo

#TUNASIMAMANAMAMA
Mama Samia amefanya kazi kubwa na aendelee tena akimaliza 2025. Hakuna rais aliyetokea kama huyo mama, mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.
 
Katiba mpya itaturejeshea Tanganyika yetu

Mama wa Afroshirazi asikatae Katiba Mpya
 
Back
Top Bottom