Watamsingizia tena Magufuli? Udiwani washindwa kata zote

Magufuli alichangia sana uchafusi wa uchaguzi ila kwa sasa kinachoharibu ni mfumo mbovu wa tume ya uchaguzi, kama tume ya uchaguzi haipo huru hata akitokea rais wa namna gani bado CCM itaendelea kushinda, mimi nimesimamia chaguzi mbalimbali kwenye kata, najua kinachoendelea wala usilaumu vyama vya upinzani, mambo mengi wewe huyajui, nikitulia nitaleta mbinu za wizi ambazo CCm inatumia kuiba kura, na hizo mbinu ili ziondoke mpaka tume huru ipatikane
 
Hamna hoja. Miaka mitatu ishapita, maridhiano mmefanya, 255 mmefanya, maandamano mmefanya, mmeshindwa kuhamasisha Wananchi, mmewhindwa kuuza sera, mmebakia mnakimbizana na kaburi tu.

Huo ni Uwendawazimu.

CHADEMA haichagul
Magufuli alichangia sana uchafusi wa uchaguzi ila kwa sasa kinachoharibu ni mfumo mbovu wa tume ya uchaguzi, kama tume ya uchaguzi haipo huru hata akitokea rais wa namna gani bado CCM itaendelea kushinda, mimi nimesimamia chaguzi mbalimbali kwenye kata, najua kinachoendelea wala usilaumu vyama vya upinzani, mambo mengi wewe huyajui, nikitulia nitaleta mbinu za wizi ambazo CCm inatumia kuiba kura, na hizo mbinu ili ziondoke mpaka tume huru ipatikane
 
Mkuu Etwege, nafikiri uwaombe ma mods wabadilishe bandiko kuu na Lisomeke "Wanamsingizia"😇😅

Hawa watu ni watu waajabu sana, watashindwa na watalegea tu. Kila jambo?

Wamerusha helikopta, wamezurura na 255 wameandamana, wamemshitaki Hayati Magufuli kila kona, lakini wapi.

Wakiambiwa wauze sera hawataki!

Hapa kazi tu inaendelea.
Magufuli alichangia sana uchafusi wa uchaguzi ila kwa sasa kinachoharibu ni mfumo mbovu wa tume ya uchaguzi, kama tume ya uchaguzi haipo huru hata akitokea rais wa namna gani bado CCM itaendelea kushinda, mimi nimesimamia chaguzi mbalimbali kwenye kata, najua kinachoendelea wala usilaumu vyama vya upinzani, mambo mengi wewe huyajui, nikitulia nitaleta mbinu za wizi ambazo CCm inatumia kuiba kura, na hizo mbinu ili ziondoke mpaka tume huru ipatikane
 
Magufuli alichangia sana uchafusi wa uchaguzi ila kwa sasa kinachoharibu ni mfumo mbovu wa tume ya uchaguzi, kama tume ya uchaguzi haipo huru hata akitokea rais wa namna gani bado CCM itaendelea kushinda, mimi nimesimamia chaguzi mbalimbali kwenye kata, najua kinachoendelea wala usilaumu vyama vya upinzani, mambo mengi wewe huyajui, nikitulia nitaleta mbinu za wizi ambazo CCm inatumia kuiba kura, na hizo mbinu ili ziondoke mpaka tume huru ipatikane

Hata 2025 mtasema hivyohivyo baada ya kipigo
 
Magufuli ndie aliyetunga sheria za Uchaguzi?
Weka hizo mbini hapa badala ya porojo tu, na kabla ya hapo utuambie, ni Magufli ndie aliyesimamia hizi chaguzi? Yeye ndie aliyetunga sheria na kanuni za tume huru za uchaguzi?

Unaposema magufuli amechangia, amechangia nini?
 
Hao misukule wa mbowe hawajawahi kuwa na akili
 
Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au mtawapongeza Kinana na January Makamba kwamba matamko yao yamesababisha uchaguzi umekuwa wa huru na haki kwenye kata zote?

Kazi hamfanyi, kazi kula ruzuku tu mliyopewa bure bure na rais Samia ambayo ni kodi zetu sisi wananchi wanyonge. Ni faida ipi mliyoipata sasa?

Laana ya kushangilia kifo cha Rais wetu mpendwa iwatafune na itawatafuna kwelikweli mpaka mkome.

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

R.I.P shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi.
Malaya wa Kisiasa unawataja CHADEMA walishiriki uchaguzi??Waambie ndugu zako ACT -WAZALENDO
 
Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au mtawapongeza Kinana na January Makamba kwamba matamko yao yamesababisha uchaguzi umekuwa wa huru na haki kwenye kata zote?

Kazi hamfanyi, kazi kula ruzuku tu mliyopewa bure bure na rais Samia ambayo ni kodi zetu sisi wananchi wanyonge. Ni faida ipi mliyoipata sasa?

Laana ya kushangilia kifo cha Rais wetu mpendwa iwatafune na itawatafuna kwelikweli mpaka mkome.

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

R.I.P shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi.
Walipewa Ruzuku wakatengeneza mikutano, wakazunguka ili walipane vizuri. Ikaisha sasa wanasubri nyingine tena.
 
Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au mtawapongeza Kinana na January Makamba kwamba matamko yao yamesababisha uchaguzi umekuwa wa huru na haki kwenye kata zote?

Kazi hamfanyi, kazi kula ruzuku tu mliyopewa bure bure na rais Samia ambayo ni kodi zetu sisi wananchi wanyonge. Ni faida ipi mliyoipata sasa?

Laana ya kushangilia kifo cha Rais wetu mpendwa iwatafune na itawatafuna kwelikweli mpaka mkome.

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

R.I.P shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi.
Siasa za kishamba hizi unazojaribu kutuletea humu. Kata mojawapo Ujiji - Kigoma kilichoendelea kila mmoja amekiona. Baadhi ya kura feki zimekamatwa zikiwa tayari na tick kwa mgombea wa CCM. Bado hao Chadema hawajasimamisha mgombea yoyote. Unapotuambia kushidwa kwa Lissu na Mbowe ambao hawashiriki ni ushamba, chukina propaganda za Kipumbavu zisikuwa na manufaa
 
Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au mtawapongeza Kinana na January Makamba kwamba matamko yao yamesababisha uchaguzi umekuwa wa huru na haki kwenye kata zote?

Kazi hamfanyi, kazi kula ruzuku tu mliyopewa bure bure na rais Samia ambayo ni kodi zetu sisi wananchi wanyonge. Ni faida ipi mliyoipata sasa?

Laana ya kushangilia kifo cha Rais wetu mpendwa iwatafune na itawatafuna kwelikweli mpaka mkome.

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

R.I.P shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi.
wewe ni zuzu tene zuzuma. chadema walishiriki huo uchaguzi ? kata zilikuwa 47 chadema walishiriki kata ipi?
MAGUFULI AMESHAOZA HUKO CHATO NA SASA ANAUNGUZWA NA MOTO WA MUNGU KWA DAMU ZA WATU ALIZOMWAGA. KAMA UMEKEREKA KAMFUFUE UZIKWE WEWE
 
Magufuli ndie aliyetunga sheria za Uchaguzi?
Weka hizo mbini hapa badala ya porojo tu, na kabla ya hapo utuambie, ni Magufli ndie aliyesimamia hizi chaguzi? Yeye ndie aliyetunga sheria na kanuni za tume huru za uchaguzi?

Unaposema magufuli amechangia, amechangia nini?
Ni kipofu tu ndiye ambaye hawezi kusema kuwa magufuli alichafua uchaguzi wa 2020! Lakini ukweli huwezi kuubadilisha kuwa uongo! Tuache ushabiki wa kinafiki! Ulishawahi kuona zaidi ya wabunge 50 wanapita bila kupingwa??? Tena wa chama tawala tu?? Hata mtoto mdogo kwenye hili analijua, na kwa hili mkuu ni doa kubwa kwa mwendazake, hata mjaribu kumsafisha hawezi kusafishika katika hili
 
Back
Top Bottom