Watamjibu na Askofu Gwajima?

B
DAKIKA 90's zitaamua na for sure πŸ˜ƒ 😊 hakuna alie wai ku battle na ASKOFU GWAJIMA na akatoka salama reference zipo nyingi.

Ni Jambo la muda...Time is the best teacher.

#YANGUMACHO
Bashite na Mond watakuwa mashahidi wazuri sana πŸ˜‚ wa hii kauli yako. "Almasi(Mond )itageuka kuwa maji taka"& "nimekufuta kwenye ulimwengu wa siasa na uongozi(Bashite)" mwisho wa kunukuu
 
Tayari wameanza kuropoka
 
Nivema tungepata jawabu na sio jibu...
Jawabu zuri litatoka iwapo abuduli naye atakutwa ununio uchi na bilamacho alivyosema Gwajma!!!
 
Huenda huyu ndo mtekaji, watu kama hawa ndo wanadhihirisha kuwa elimu yetu ni mbovu, duh kama taifa tuna safari ndefu kama majitu ndo haya πŸ™„πŸ™„πŸ™„
sure,
gwajima huenda ndie akawa mdadhili mkuu wa hizo drama za kilofa sana za utekaji gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…