lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,470 Reaction score 9,053 Mar 16, 2012 #61 Anko Sam said: Hapa mbona manumba hakusema aletewe ushahidi? Kwa nini aliamua kufanya upelelezi na kumkosa muhusika na kuwabambikia kesi hawa watu? Click to expand... umenena mkuu
Anko Sam said: Hapa mbona manumba hakusema aletewe ushahidi? Kwa nini aliamua kufanya upelelezi na kumkosa muhusika na kuwabambikia kesi hawa watu? Click to expand... umenena mkuu
MJINI CHAI JF-Expert Member Joined Dec 12, 2010 Posts 2,202 Reaction score 1,229 Mar 16, 2012 #62 Mende0 said: Jamani hili sio gobore hili? Mbona huyo Kamanda wa polisi alisema alikuwa na bastola tu Click to expand... Mkuu kwenye hizo Picha mbona mimi silioni hilo Gobole?....au ''kiza cha Macho''?
Mende0 said: Jamani hili sio gobore hili? Mbona huyo Kamanda wa polisi alisema alikuwa na bastola tu Click to expand... Mkuu kwenye hizo Picha mbona mimi silioni hilo Gobole?....au ''kiza cha Macho''?
Gagurito JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 5,600 Reaction score 811 Mar 16, 2012 #63 Malima mzembe!
N ngokos Member Joined Sep 6, 2011 Posts 27 Reaction score 3 Mar 16, 2012 #64 CAMERA Hotelini hapo zipo tele!!!!!!!!!!! sasa sizianikwe tujue mheshimiwa aliingia na nani Hotelini??? ili tubaini uongo wa polisi!!!!
CAMERA Hotelini hapo zipo tele!!!!!!!!!!! sasa sizianikwe tujue mheshimiwa aliingia na nani Hotelini??? ili tubaini uongo wa polisi!!!!
B Baba Collins JF-Expert Member Joined Sep 24, 2011 Posts 502 Reaction score 106 Mar 16, 2012 #65 Kwa hiyo waziri akiibiwa wezi lazima wapatikane,tukiibiwa sisi sasa, wezi hawapatikani milele.
R rubby Senior Member Joined May 18, 2011 Posts 121 Reaction score 13 Mar 23, 2012 #66 toto ya kiruguru ilimdatisha malima afu hakumlipa. cha moto akakiona