Watalii kushukia KIA ni tatizo

Watalii kushukia KIA ni tatizo

Ulichowaza sio sahihi mkuu. Vituo vya kitalii viko vingi. Wakitaka Dar si wangeenda huko. Kama shida ni mlima au serenget si KIA panatosha??
 
Ndiyo mentality inayowakaanga waTanzania hivi sasa, miji yote wanapeleka stand za mabasi mbali kwa lengo la kuzifanya daladala, bajaj na bodaboda za wanasiasa na matajiri zifanye biashara bila kukumbuka kuwa wanawaongezea mzigo wa matumizi wananchi ambao kimsingi kipato chao ni duni na gharama za maisha zimewaelemea sana.
Mfano hai ni stand mpya ya Sumbawanga, hata basi likilala mjini hawaruhusu upande kwenda nalo huko ilipo stand kilometer karibu 50, na imagine ni lazima utoke saa 10 usiku kwenda stand ili kuwahi timing ya kuondoka saa 12 asubuhi.
 
Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alisema serikali ikiwa corrupt inatumikia wenye mali, na haya ndiyo matokeo yake
 
Toka mama arudi kutoka Royal Tour nasikia watalii wameongezeka sana cha ajabu wote wanashukia KIA na sio Dar ama Dodoma.

Sasa kwanini nasema wasishukie huko. Sababu ya kwanza ni unapunguza matumizi ta mtalii. Mtalii anatakiwa kushukia mbali na sehemu ya utalii ili aanze kutumia hela zake mapema kabla ya kufika eneo husika hii itasaidia kuongeza kipato.

Mfano akishukia Dar baadae atalazimika kupanda ndege nyingine mpaka KIA au eneo husika hii inaingiza faida.

Kuna wengine watapumzika kabla ya kuendelea na safari atatafuta hoteli yenye hadhi atalala atakula na kunywa atafanya starehe kabla ya kuendelea na safari yake hii itamfanya aanze kutumia pesa zake kabla ya kufika eneo husika la utalii hii inaongeza pato la kigeni nchini.

Pili inapunguza exposure kwa mtalii. Inapunguza uhitaji wa mtalii kutembelea maeneo mengine ambayo sio Arusha wala Moshi mfano mtalii anapoenda Ngorongoro anakosa hamu ya kutembelea sehemu nyingie za nchi mfano hifadhi ambazo zipo Kusini na Magharibi kama Ruaha na Gombe ambazo pengine asingeanzia Arusha angezitalii pia

Sababu ni nyingi ila za msingi ni kama hizo nilizoongea TUTAFAKARI.
Mtoa UZI ana paswa asaidiwe apewe elimu na sio kumshambulia kwa kebehii

Direct flight kaka ina faida ata kwa mbongo aishie ughaibui itakusaidia sana kupunguza buguuza za connection,

Kwa hawa watalii nao ni wame save pesa sanaa
 
Toka mama arudi kutoka Royal Tour nasikia watalii wameongezeka sana cha ajabu wote wanashukia KIA na sio Dar ama Dodoma.

Sasa kwanini nasema wasishukie huko. Sababu ya kwanza ni unapunguza matumizi ta mtalii. Mtalii anatakiwa kushukia mbali na sehemu ya utalii ili aanze kutumia hela zake mapema kabla ya kufika eneo husika hii itasaidia kuongeza kipato.

Mfano akishukia Dar baadae atalazimika kupanda ndege nyingine mpaka KIA au eneo husika hii inaingiza faida.

Kuna wengine watapumzika kabla ya kuendelea na safari atatafuta hoteli yenye hadhi atalala atakula na kunywa atafanya starehe kabla ya kuendelea na safari yake hii itamfanya aanze kutumia pesa zake kabla ya kufika eneo husika la utalii hii inaongeza pato la kigeni nchini.

Pili inapunguza exposure kwa mtalii. Inapunguza uhitaji wa mtalii kutembelea maeneo mengine ambayo sio Arusha wala Moshi mfano mtalii anapoenda Ngorongoro anakosa hamu ya kutembelea sehemu nyingie za nchi mfano hifadhi ambazo zipo Kusini na Magharibi kama Ruaha na Gombe ambazo pengine asingeanzia Arusha angezitalii pia

Sababu ni nyingi ila za msingi ni kama hizo nilizoongea TUTAFAKARI.
Tatizo wengi wanakuja ndege nzima ni watalii, ( imekodishwa) na sio wale wanaokuja wenyewe. Naona wanakuwa na ratiba kabisa.
 
Sasa kama flight ya moja kwa moja ipo hadi KIA alale Dar ili iweje, muda wao ni mchache sana huwa wanakimbizana nao kukamilisha ratiba zao
 
Alafu we mtoa uzi unaonekana elimu yako ndogo sana. Hujui mtalii anae enda kushukia dar flight yake bei ni ndogo kuliko atakae kuja moja kwa moja KIA
 
Toka mama arudi kutoka Royal Tour nasikia watalii wameongezeka sana cha ajabu wote wanashukia KIA na sio Dar ama Dodoma.

Sasa kwanini nasema wasishukie huko. Sababu ya kwanza ni unapunguza matumizi ta mtalii. Mtalii anatakiwa kushukia mbali na sehemu ya utalii ili aanze kutumia hela zake mapema kabla ya kufika eneo husika hii itasaidia kuongeza kipato.

Mfano akishukia Dar baadae atalazimika kupanda ndege nyingine mpaka KIA au eneo husika hii inaingiza faida.

Kuna wengine watapumzika kabla ya kuendelea na safari atatafuta hoteli yenye hadhi atalala atakula na kunywa atafanya starehe kabla ya kuendelea na safari yake hii itamfanya aanze kutumia pesa zake kabla ya kufika eneo husika la utalii hii inaongeza pato la kigeni nchini.

Pili inapunguza exposure kwa mtalii. Inapunguza uhitaji wa mtalii kutembelea maeneo mengine ambayo sio Arusha wala Moshi mfano mtalii anapoenda Ngorongoro anakosa hamu ya kutembelea sehemu nyingie za nchi mfano hifadhi ambazo zipo Kusini na Magharibi kama Ruaha na Gombe ambazo pengine asingeanzia Arusha angezitalii pia

Sababu ni nyingi ila za msingi ni kama hizo nilizoongea TUTAFAKARI.
[emoji849][emoji849] aisee Leo umekula maharage ya wapi?
 
Back
Top Bottom