walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,851
- 5,697
Duh wabongo wanajua madini hatar uyu ngosha uyu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahahaha umetisha mkuuDuh wabongo wanajua madini hatar uyu ngosha uyu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
People are always negative! Japo wanasema halina dili wewe unaweza kulifanya likawa dili.Jaribu kulichonga shepu za kuvutia liwe pambo.Hakuna kisichokosa matumizi.Lifanyie ubunifu wowote AF utanipa mrejesho.Chonga hata bangili kisha jaribu kubandika vipande uone kama haitakuwa na mvuto.Hilo jiwe ni pesa kwa wenye akili.Nimeona hili jiwe limenichanganya kulingana na linavyoonekana. Kwa yeyote anafahamu kuhusu hili jiwe naomba anifahamishe
Ni jiwe gani. Maana nahisi kama madini hivi
Usitishwe na maneno ya wabongo ni weupe ila wanajifanya wanajua.Jiwe kama hilo linakosaje matumiziDuh wabongo wanajua madini hatar uyu ngosha uyu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu litunze waweza kulipeleka maeneo husika ukapata chochote kituUsitishwe na maneno ya wabongo ni weupe ila wanajifanya wanajua.Jiwe kama hilo linakosaje matumizi