Watalamu Wa Computer mko wap¿

Hahaha yani kule wananunua vitu bei rahisi ila wao wanakaza sana, sema yote yanawezekana miezi miwili nyuma niliibiwa laptop na nilikuwa ninahitaji laptop inisogeze kwa mwez mmoja hivi ndipo nije ninunue tena mashine ya maana, nilienda kule wakataka nipige chromebook kumbe mimi mwenyewe fundi ilikuwa mpya nikaikata, wakata niuzi laptop ina kiprocessor week cha AMD nayo nikaikata nikaja nunua laptop ya dell ambayo ilikuwa imefunguliwa niliinunua 80,000 kama ilivyo keyboard ikiwa pembeni hdd imetolewa, ram hazimo na kadhalika nikaja ifunga mwenyewe nikaitumia fresh baada ya mwezi nikampa mtu ila ilikuwa inapiga kazi fresh tu.
 
Utoke Mboka Manyema mpaka Moro kisa Laptop ya 150,000???
Mwez huu ninaenda kwenye graduation yang pale chuo cha Sua ndo maana nikaandika hivyo ......kumbe una under value 150K sio kama siihitaji hyo pc naipenda sana mkuu!
 
Wale vijana sio wazur kwa mgen wa electronic device
 
Wakuu kwanza natanguliza salaam kwa wakubwa NA wadogo!
Nina pc yang ya lenovo minicomputer imepata crack kwenye screen sasa hivi imeweka wino ,naomben msaada jins ya matengenezo NA gharama zake
Natanguliza shukran View attachment 921922
Mzee kuna laki 1 hapa haina kazi kama inawezakana njoo ichukue,, alafu nikatengeneze hicho kioo mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…