Job seeker 2
Senior Member
- Oct 28, 2018
- 178
- 111
Duuh mkuu pesa kubwa sjui kama nitawezaKanunue kioo mpya
Gharama zake kama 150,00
Motor imeharibu kioo
Hapo ni kuweka kioo kipya tu ita range 80-120 ni rahisi tu kama kubadirisha betri ya simuWakuu kwanza natanguliza salaam kwa wakubwa NA wadogo!
Nina pc yang ya lenovo minicomputer imepata crack kwenye screen sasa hivi imeweka wino ,naomben msaada jins ya matengenezo NA gharama zake
Natanguliza shukran View attachment 921922
Kwa bei ya kioo mkuu inabidi niiuze tu kwa watalamu wa pc sjui watanipa ngapHapo ni kuweka kioo kipya tu ita range 80-120 ni rahisi tu kama kubadirisha betri ya simu
kwa mini computer tena iliyoharibika kioo hukawii kupea 50,000Kwa bei ya kioo mkuu inabidi niiuze tu kwa watalamu wa pc sjui watanipa ngap
Hahaaaaaaa bora nikae nayo hivo hivo mkuu nikadhan hata 250Kkwa mini computer tena iliyoharibika kioo hukawii kupea 50,000
hata laki mbili sidhani kama utapewa hata 150 mkuu labda kama uko mkoa huko maana pc siku hizi bei rahisi kuliko simu za huawei na tecnoHahaaaaaaa bora nikae nayo hivo hivo mkuu nikadhan hata 250K
Niko Tabora now mkuuUko wapi?
Bora niitumie mwenyewe nitakuwa niminimize page Kaz iendeleehata laki mbili sidhani kama utapewa hata 150 mkuu labda kama uko mkoa huko maana pc siku hizi bei rahisi kuliko simu za huawei na tecno
Niko Tabora now mkuu
Niko magereza mahabusu cortus hapaItetemia, Mwinyi, Ipuli, Isevya, Mwanza road ama uko wilayani Uyui ndani huko.
Kwa Zuberi?Niko magereza mahabusu cortus hapa
YapKwa Zuberi?
Niko kwa zuberi karibu NA shule ya msing kiteteSorry. Magereza unamaanisha kule Uyui unapita Isevya unaenda ndani hivi...
Sema tuongee biashara. Nataka nikafirie umbali
Hakuna sehemu kuna vijana wanajua ku under value electronic device kama vijana wa kariakoo maeneo ya kongo, agrey na machinga complex....hiyo kukupa 50,000 wala awashituki tena wanaweza kukuambia wamenunua bila maslai....ila nenda wewe unatafuta kitu bei utakayo pewa ni ya devoce mpya na wataisifia kwelikwelihata laki mbili sidhani kama utapewa hata 150 mkuu labda kama uko mkoa huko maana pc siku hizi bei rahisi kuliko simu za huawei na tecno
Nawafaham sana hawa vijana ...ntaenda kwa fundi wang pale Moro Yuko vizur najua atanipa bei nzurHakuna sehemu kuna vijana wanajua ku under value electronic device kama vijana wa kariakoo maeneo ya kongo, agrey na machinga complex....hiyo kukupa 50,000 wala awashituki tena wanaweza kukuambia wamenunua bila maslai....ila nenda wewe unatafuta kitu bei utakayo pewa ni ya devoce mpya na wataisifia kwelikweli
Niko kwa zuberi karibu NA shule ya msing kitete