Kama wanakufa umri wa kuanza kutaga basi ni ugonjwa wa MAREKSI. Naomba kujua wana umri gani.
Hivi jameni, kama umeweza kufikisha kuku80 na bado unafuga hulia, badilika na uone kama ufugaji ni kazi na watengenezee hao kuku bando kuepusha kupata magonjwa huko wanakotembelea
Preventiin is cheaper than treatment
hiyo ni ndui. uliwapa chanjo ya ndui.. kuku wenye nfui huwa wanashambuliwa na magonjwa mengimengi tu. kwa kuwa hawana kinga mwilini. wape antibacteria halafu chanjo. ila ni vzr upeleke kuku mgonjwa wakamuangalie kwa kumchinja uweze kujua ni magonjwa gani haswa.
Sikuwapa chanjo ya ndui zaidi ya chanjo ya kideri.
0659991420 or 0783797111 mpigie huyu jamaa atakusaidia..anaitwa Dr.Kyejo
Kutoka kitu kama sabuni ya mche iliyo lowekwa machoni ni upungufu wa vitamini (A) hauna tiba unakingwa kwa kuwapa majani mabichi. kuku kufa gafura huenda ni shinikizo la damu, wafungie majani kwa kuning'iniza wafanye mazoezi kupunguza mafuta.[/QUOTE
Kumbe Kuku wanapata shinikizo la damu. Nimejifunza kitu hapa.
Kutoka kitu kama sabuni ya mche iliyo lowekwa machoni ni upungufu wa vitamini (A) hauna tiba unakingwa kwa kuwapa majani mabichi. kuku kufa gafura huenda ni shinikizo la damu, wafungie majani kwa kuning'iniza wafanye mazoezi kupunguza mafuta.