Heshima kwenu wanajf, tumshukuru mungu wote kwakuwa wazima japo wengine wapo hai ila wanaumwa wangine mida michache pengine hatutakuwa nao, I nashangaza kila kukicha watalaam wanaongezeka namaanisha si wataalam wa fizikia au jeografikia hapana hawa ni wataalam wauchambuzi wamambo yaani toka uchaguzi umepita basi kila mtu anajifanya anajua kuchambua na unamkuta mtu anajisifu sinilikwambieni, haya sasa mnaona haya ndio maneno yanayotandazwa vijiweni mpaka hata humu jf, mfano kila mtu kabla ya uchaguzi ajifanya anamjua sana magufuli unakuta wanasema unamjua magufuli wewe? hiyo haitoshi ukuija kwa Mh Lowassa ndio kabisaa basi kila mtu we unamjua lowasa wewe? mimi namjua lowassa nimefanyanae kazi yule jamaa hafai, wapi wewe ukimwangalia mtu mwenyewe anaesema amefanyanae kazi Lowass hata hawafanani hata kidogo sasa najiuliza kama hawa watu wanajua sana ambao wapo ktk headline sasahivi au wakati wa kampeni,mbona hakuna uwiano ? na angalau hata wangesema walisoma nao hata elimu ukimuuliza ulisoma shule gani hawasemi nambaya zaidi waheshimiwa cv zao zipo chuo au shule walizopita zinajulikana. Watz tuache kujifanya kunajua kilakitu hivi unapata ninim kijivika uhusiano feki.
wanampongeza jpm
Kumekuwa na salaam nyingi zakufanya mtu upotee njia kwamba jpm ni jembe haina shida hatuakatai ushauri wangu kila kitu kina pimwa kwa muda maalum hata malaria ina dakikia kadhaa ndio itasomeka , HIV, na vingenevyo vivyo hivyo utendaji wa jpm sina shaka kama ni mtendaji hasa katk level ya kwnza ambao ilikuwa ni wizara tu ile ni sehemu ndogo yakiutendaji hivyo virehisi pia kuonesha uwezo lakini kwasasa yuko ktk level ya nchi nzima ndio kwnza ana mwezi mmoja tu , maoni yangu tumpe mda kwakuwa nafasi tayari anayo tuendelee kuona yatakayojiri kuwafurahisha watz maana sisi itakuwa kama kunguru yani vita vya panzi kunguru ndio anafaidi tusiwe kama kuku dakika mbili nyingi alikuwa nakimbia mwewe mara tu kasahau, ngoja tuone tuko nae mda anao nafasi anayo, mamlaka anayo tutasema natutampongeza akistahili ila kwasasa kaanza vizuri tu.
wampondao lowassa.
kimsingi ni haki yakila mtu kuongea kila anachoona kwake ni sawa ila kuna muda yabidi kutambua michango yamtu mmojammoja au makundi ya watu kwamichango yao ktk jamii . hivyo basi badala yakumbeza lowassa tungempongeza japo kimoyo moyo nanaamini kuna watu wampongeza ilakusema hadharani hawawezi kwani leo ninachokiona ni kusema tu lowassa bila kuangalia sasa anachokifanya jpm ni baada ya kuona hali nitete pengine mungu alitaka haya yatokee yani kukatwa lowassa ilikuwe na njia ya sisi walipakodi kuonja keki ya taifa hivi tunasahau kwamba kama silowasa na wapinzani kusema ishu za hovyo kungekuwa nahii speed iliopo sasahivi jamani escrow ilitolewa na nani na kma kweli EL nahiyo Richmond ni fyongo nini kigugumizi ccm au jk kumchenjia lowassa kwani sialishaasi ccm nini kinashindikana kusimamia show, naamini tufanye vitu kwakubakiza maneno yaani watanzania tunajifanya kujua sana habari za watu leo hii watu wanajifanya walijua lowassa anashindwa mbona wakati wa kampeni hawakusema au tulijua jpm atafanya haya yanayotokea sasahivi mbaya zaidi walikuwa wanasema tutaisoma namba na shangaa sashivi tunaisoma wote mpka wale ambao walikuwa wanajua chrismas itakuwa njema sana kwa mchongo wa sikuku za uhuru sasa kwishney, wengine, ada za magumashi kwakupitia sikuku ya uhuru, zaidi waonampongeza magufuli wengi wetu ni wachoma chapati wapi nape kinana, mchemba na Makamba, uvvccm, na kamakonda, nawasilisha​