babilas25
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 483
- 359
Ndugu zangu wanajukwaa mimi Simu yangu internal memory 16GB ila hakuna vitu vingi kwenye simu ila nashangaa ijaa tu mpaka nimeamua kurestart lakini bado tatizo liko pale pale
Nini cha kufanya karibu wajuzi wa mambo ili niondokane na hili tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini cha kufanya karibu wajuzi wa mambo ili niondokane na hili tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app