WatakaopitIsha bajeti ya umeme walaaniwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WatakaopitIsha bajeti ya umeme walaaniwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malunde-Malundi, Jul 18, 2011.

 1. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes walaaniwe, serikali haipo na haina aibu kama ipo hadi siku ya budget ni blackout. Jamani wataopitisha na mikofi na usanii binafsi nitashiriki washindwe na laana hii nasema itawaumbua na wataumbuka
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Wazee wa posho CCM wataipitisha kwa kuwa wao wanafikiri kwa kutumia matumbo yao.
   
 3. delabuta

  delabuta Senior Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja bajeti ya wizara ya nishati isipite tafadhali magambo mpo
   
 4. delabuta

  delabuta Senior Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja bajeti ya wizara ya nishati isipite tafadhali magamba mpo
   
 5. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Na hakika tunaweza tukaingia kwenye HISTORIA kuwa waziri akapoteza shilingi kupitia wabunge.Nilishatuma dua langu,na hakika mpaka sasa kupitia michango ya wabunge waliopita naona majibu yangu yanapatikana.[Bofya hapa] uone duwa langu kabla Hotuba ya Waziri wa nishati kutolewa siku ya IJUMAA.

  Sooon and very sooon we are going to seee..the............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Magamba kama kawaida yao ya naunga mkono hoja 100% na ndiyoooo!watapitisha tu!Mungu saidia hawa wajinga wasiojua walitendalo
   
Loading...