Watakao kuja kukupa msaada huwajui

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,310
Reaction score
6,813
Ishi na watu vizuri Sana, usikubali kuwa chanzo cha migogoro Katia Maisha yako ya kila Siku.

Ila usiweke matumaini kuwa watu wako wa karibu ndio msaada wako kamwe usifanye hivyo.

Wanakuja kutusaidia kwenye Maisha yetu ni watu baki ambao hatuwajui kabisa.

Usitegemee marafiki zako ndio msaada wako hapana Ila kuna Kitu nataka Uwe unakifanya Basi automatically utakuwa unatokea msaaada katika mazingira usioitegemea

Kitu hicho ni Saidie wengine usiowajua na usitegemee malipo yoyote.

Ukifanya hivi utakuwa Ndani ya nature.

Kumbuka unachofanya utafanyiwa hata kama Sio Leo
 
Kwa hiyo unasaidia ili usaidiwe? Unawekeza kwenye biashara ya kusaidiana?
 
Nini kimekukuta mzee?
 
 
Mtu akileta ufala lazima mgombane tu, haijalishi atakuja kukusaidia au hatakuja kukusaidia, kwanza wakati huo mnagombana hata hayo mawazo ya kusaidiana huwa hayapo wakati huo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…