Wataka Urais CCM 2015 'watia sumu' CHADEMA!

promi demana

Hapa ndipo mnapoanza kupotoka kwa kuingia mwenye mtego wao kwa kuanza kushutumu watu bila kufanya utafiti...

Ni lazima Chadema kiwe makini na kiendeshe mambo yake kisayansi zaidi kuliko kuendeshwa mambo kwa hisia. Kuwepo chombo maalumu cha utafiti na ikibidi washirikine na wataalamu wa nje ya nchi ambao nuna hakika wapo wenye nia njema na Chadema na nchi kwa ujumla, vinginevyo tutajikuta nchi inaingia mikononi mwa mafisadi.

Halisi hata nibaki peke yangu huku watz wote waamue ku-join hands with my fisadi...Nchi hii haiendi kwa fisadi tena! Haiwezekani haitakaa ikawezekana all nature is going to be against ufisadi wa mtu yeyote uwe wa sirini ama hadharani...Inaelekea wengi hawaelewi what I say! Its not about what I say but the power to effect change..Wengine mnategemea democracy mi nategemea nguvu nilizonazo kuweka vitu viende to my favour!

This time watanzania wataamini bila kupenda Kings rule by decrees! Kama wachawi waliweza weka watu madarakani mtoto wa mfalme siwezi shindwa swala dogo kama hilo

I decree and declare hakuna fisadi atanyanyua mguu wake kuelekea Ikulu ya Tanzania!

Watch and see!
 
Baba wa Taifa Mwl. Nyerere aliwahi kusema mtu anayekimbilia ikulu ni wa kuogopa kama ukoma. 'Ikulu ni mahali patakatifu na watu safi hawapakimbilii ikulu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom