Sasa huyo anasema oic haina madhara kwa nchi,hawajajiunga lakini wanachoma nyumba zetu za ibada,wakijiunga si ndo watatuchinja kabisa.hatutaki.
Nina hasira na hawa wafuga majini
Nina hasira na hawa wafuga majini
Huyu hajapigwa ban?Kesho mimi gwaki nachoma Qur'ani kwa neno hilo alomtamkia huyu bwana!Haya ni maneno ya shetani ambayo yanapaswa msikitini tu na sio hapa JFwaliisha wahi kukuchapa nao matakoni nini, maana huwezi kumchukia mtu namna hiyo huwenda kuna kitu mbaya walikufanya?
Mussa Mwangoka, Nkasi.
BAADHI ya wakazi wa kata ya Kabwe wilayani Nkasi mkoani Rukwa wametaka katiba mpya ijayo itambue dini kuwa ni sehemu ya muhimili wa dola.
Mmoja wa wakazi hao, Hassan Mustapha alisema jana wakati akitoa maoni yake mbele ya tume ya kukusanya maoni kundi la mkoa wa Rukwa, iliyotembelea kata hiyo na kufanya mkutano wa hadhara wa kukusanya maoni hao.
mkuu hakuna cha faida wala jirani yake yaani amani.
Mbona somalia na sudani hatuyaoni hayo maendeleo?
Hapo ni kiini macho tu, malengo yapo mvunguni.
"Mtakadini", maneno ya Nyerere ya kumkebehi Sheikh Takadiri kwa kuwa tu alimwambia ukweli Nyerere mbele ya hadhara ya watu hapo Mnazi Mmoja, kuwa "huyu atatugeuka". Na kweli!
nahisi watu mnaogopa bila kujua mnaogopa nini, wengine wanataka wakidhani dini yao ndo itakamilikaukiona mtu anadhani maendeleo ya yataletwa na wajomba kama oic,world bank and the like muogope kama ukoma hana jipya. Maendeleo huja kwa kufanyakazi kwa bidii,juhudi na maarifa.hao oic wao utajiri wa kukuletea wewe wanaupata kutoka wapi? Maliasili zetu zote hizi bado kuna watu wanawaza vya kuombaomba mpaka leo? Ni nini hasa kinawafanya watu wawe na hulka ya kupenda vya bure.
huyu hajapigwa ban?kesho mimi gwaki nachoma qur'ani kwa neno hilo alomtamkia huyu bwana!haya ni maneno ya shetani ambayo yanapaswa msikitini tu na sio hapa jf
Kuwageuka akina nani? Waislamu? Nyerere hakushiriki katika harakati za uhuru kuwafaidisha Waislamu peke yake.
Takadir alikuwa on the wrong side of history.
malengo gani yaliyo uvunguni? Na hicho kiini macho ni kipi? Acha kupotosha, pinga hoja kwa kuleta ubainifu ili watu wachague pumba na mchele, hivi ungesema kwa mfano madhara ya oic ni 1, 2, 3 na 4. Na faida zake ni kadha kadha si ungewasaidia waislam kujua ukweli wa kile wanachoking'ang'ania ambacho hakina faida kwao?